Mshindi ni yule aliyekaa zaidi ya siku mbili wa mwishogan au gani? Mwatulole mimi ndiye mshindi. ukiendeleza ubishi nitakutafutia Machine gun nikumalize. Mchezo umefungwa rasmi na JF administrators na moderators na wambuzi wameshakubali mimi ndiyo mshindi
Hazifai mbinu wanazotumia moderator kumtafutia ushindi mfu fulaniHizi nguo hazifai
Fulani hafurahi kuona watanzania wana furahaHazifai mbinu wanazotumia moderator kumtafutia ushindi mfu fulani
furaha kwake ni kama zimwi linalomkaba usiku wakati amelala
Amelala sasa hivifuraha kwake ni kama zimwi linalomkaba usiku wakati amelala
Hivi umenichunia au?
Umenichunia wewe!
Wewe unajua nini kuhusu kuuchunaUmenichunia wewe!
Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
Naipenda Kama Shati La KitengeNchi hii naipenda
Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
Shati la kitenge halijawahi kumuabisha BahariaNaipenda Kama Shati La Kitenge
baharia wa nchi kavu
Kienyeji enyeji tu mara paaaap! TINDU LISSU AJIUNGA CCM!
baharia wa nchi kavu
inanoga kama mkiwa salama