Wa mikoani njooni mumchukue Dada yenu

Wa mikoani njooni mumchukue Dada yenu

Sijaelewa hii picha na ombi lako. Kwamba huyo jamaa ndiye alimzalisha hao wote na umri huo au?? Ka ni hivyo hata miye naja haraka nimrudishe makwetu. Simkubali shem wa aina hii. Kila akichovya tiyari!!!! Oyaaa! Naiyanga bojo! Kha! Utadhani Faru John na Faru khadija hata huruma jamaa hana!
 
Wa Darisalama

7d9244f119cb0091644611e77466e5fe.jpg
 
Sijaelewa hii picha na ombi lako. Kwamba huyo jamaa ndiye alimzalisha hao wote na umri huo au?? Ka ni hivyo hata miye naja haraka nimrudishe makwetu. Simkubali shem wa aina hii. Kila akichovya tiyari!!!! Oyaaa! Naiyanga bojo! Kha! Utadhani Faru John na Faru khadija hata huruma jamaa hana!


Kha!, mkuu yaani umefikiri huyo aliyetoa pose ndie mother house?, wewe sasa!
 
Back
Top Bottom