chinekeeee
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 1,787
- 2,897
hii itakuwa ilipigwa kipindi cha uchaguzi
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Teh mwenzio nilimdondokeaga mmoja, na huu ufilipino wangu sasa, mbona nilisema moyo komaaaa
Na ukomazike kabisa khaaa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Tena moyo ukome ukomae.
Kitu cha kigoma hiki
Baba mbongo lakini mama mchinaKidonge cha rangi mbili
Mtoto lazima awe rangi mbili tu [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji115]Baba mbongo lakini mama mchina
ChatoTumchukue tumpeleke wapi
GeitaSasa tukija mikoa tote 25 ataelekea wapi? Sema ni mkoa UPI waje?
Hadi unitongoze it means tunafahamiana hivyo nalifahamu kabila,kama ni mkurya sigeuki nyuma.