Wa Mazengo Complex tukumbushane

Majina yenu tujuane wana Mazengo. Mzee malago, mzee mdushi, na yule mwalimu wa physics alikuwa anaitwa nani?

nani? Mbaga mhuni wa kufundisha mara moja kwa miezi miwili
 
Wapi Ishengoma?wale Wa azimio au walosoma woodwork wanamjua,mama mwenda chemistry o level,magomola (R.I.P),Mavere(R.I.P) ,kibona,tandike,mshumbuzi,Malima mzee Wa basketball, komba,

Na mkuu Wa shule mgohamwende,

Kibona alinipa "Sansper" Enzi hizooo...sitaisahau Wu-zengo complex
 
Mazengo ya jana hiyo. Ya zamani zile second master Msasa. Akina Mwl Nyanda baadaye tume ya mionzi. Mwl Matthew mhindi na Mlaponi wakali wa Biology. Former Naibu Waziri wa Elimu Bujiku na Physical Chemistry yake.

Umenikumbusha Mlaponi Jamaa kipara bingwa wa biology
 

Duh chief naona ulitoka mazengo miaka si mingi. Enzi nikiwa hapo Chakoo alikuwa bachelor sugu hakuwa na mke na tulimhisi si riziki.
 

I used to know Abdul Mahobe from my primary school and Mohammed Kisamfu nilimkuta Muungano room 3 up wakati mimi nakaa Room 4 up.

Naongezea...
Wapi Tegemeo Masudi
Wapi Joseph Ndaro Cholooo.. wengine nitaongezea
 
Umenikumbusha Mlaponi Jamaa kipara bingwa wa biology

Pia alikuwepo Bingwa mwingine wa Biology Mwl Siasi. Cha pombe ile mbaya. Alikuwa dodger wa vipindi lakini siku akiingia mnafurahi
 
Mnakumbuka ile bustani ua Chinese pale karibu na geti la kuingilia adminstration??

Hahaha ile garden ilikua pale mkono wa kushoto kama unaingia gate la admin! Hivi naskia hii shule imekua university sijui ni true, na bweni langu ujamaa aka cosovo hope limeboreshwa
 
Hahaha ile garden ilikua pale mkono wa kushoto kama unaingia gate la admin! Hivi naskia hii shule imekua university sijui ni true, na bweni langu ujamaa aka cosovo hope limeboreshwa

Ni kweli now ni university inaitwa st. JOHN nilikuwa miongoni mwa wahanga wa kuhamishwa nika drop sana somo la Unga.... long live walimu wangu wa unga... Tembo, Lyaki, Unyama....etc
 

Aisee niwaongezee KIASA ( KILIMANJARO ASSOCIATION)
Alex Mulaki chair
Matonya
Aziz Mzee
Kulwa aliyeanzisha mgomo usiku kisa unga mbovu
 

Samweli ntamulenga aligombea ubunge kupitia Ukawa ila alishindwa kwa kura chache na mama Samweli sitta. Una muulizia adam basigie au ? Kama ndio huyo yuko Udom lecturer.
 
Shikamoo Kaka. Kama umepita mikononi mwa Asseri basi wewe mi Kaka yangu kabisa, heheheheeee......

mu-Australia mwalimu wa hesabu mrefu mwembamba. Alikuwa akiitwa Pierce kama sijakosea jina lake.

Alikuwepo mwanafunzi akiitwa Kichichi Chacha.... Pierce siku moja akasema kwa Kiswahili ila lafudhi ya Kiingereza "nimegundua kuwa Waafrica wanaitana majina kulingana na mboga zao. Kichichi Chacha inafanana na Mchicha".

Hivi huyu Second Master tulikuta wanamtukana ukutani anaitwa Dudu ulimwacha?

Head Master Asseri na deputy wake Kirimbai.
Mr. Oisso wa Chemistry na yule Mzee Mu-Australia alikuwa akifundisha pia dini.
 
Malago akiishi jirani na Mwalimu Suri? Mdushi na rafiki yake Mwalimu Matata?

Mwalimu wa physics level ipi? Alikuwepo Mhindi Yale na Chakoo.

Chakoo alikuwa hana aibu na mchafu. Aweza kutema au mujamba darasani.

Mwenye mtihani alikuwa anapiga marufuku kumwangalia usoni na utasikia anasemaa Dakika 5 bakia.....

Mwalimu wa Woodwork akiitwa Mwijano, mtu wa Kigoma na mlevi sana wa Mataputapu.....

Bweni la Mwongozo nawakilisha peke yangu nini?

Majina yenu tujuane wana Mazengo. Mzee malago, mzee mdushi, na yule mwalimu wa physics alikuwa anaitwa nani?
 
Aiseee imekua St johns University ila vile vyoo vyenu mlikua mnakunya saaana mpaka sasa bado kuna nuka aiseee
 


Mkuu, upo vizuri kwenye kumbukumbu. Nilikuwa najaribu kumkumbuka Pierce. Ulikuwepo wakati wa Sakila Bujiku?
 


Nashukuru kunikumbusha jina la Mr PIERCE.
Second Master Kirimbai, Mmasai aliyesoma Ulaya na kuishia kuongea Kiswahili kwa shida, ndiye aliyepewa jina la DUDU.
Kutoka pale Mr Kirimbai aliteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa National Sports Council.
 
Est zooo,marehem ngwea,mez b.kitambo sana
 
Nashukuru kunikumbusha jina la Mr PIERCE.
Second Master Kirimbai, Mmasai aliyesoma Ulaya na kuishia kuongea Kiswahili kwa shida, ndiye aliyepewa jina la DUDU.
Kutoka pale Mr Kirimbai aliteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa National Sports Council.

Yule singasinga Suri na vespa yake. Maji yakiwa ya shida inasemekana alikuwa anaenda kujisaidia Dodoma Hotel.
 
Mnakukumbuka Sudan, Kyue chini tuligoma Eraskto akabeba kengere akaipigia Sudani Dah!

hahahaaa Erasto Mbea Huyo,muda anapga kengele tulikuwa tumelala kikuyu mlimani!nakumbuka kuna siku erasto mbea alikuja na bakuli la nyuka parade!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…