Mtegowanoti
Member
- Oct 25, 2015
- 36
- 27
Mimi namkumbuka mama Kabota na chapati zake na Mzee Kameme ngosha na nguruwe zake. ..Endeleza...
Nilikuwa Bweni la Muungano. Nakumbuka kuwahi nyuka saa 11alfajiri rafiki yangu wa bweni la Azimio alivunjika mguu baada ya kuangukiwa na wa juu ya kitanda chake.
Kwa Walim namkumbuka Tembo, Unyama unyama, Lyaki,..... nitaongezea wengine
Ujamaa middle hiyooo,wapi Msasa,wapi Tandike? Daaah Gima
Mnakukumbuka Sudan, Kyue chini tuligoma Eraskto akabeba kengere akaipigia Sudani Dah!
Majina yenu tujuane wana Mazengo. Mzee malago, mzee mdushi, na yule mwalimu wa physics alikuwa anaitwa nani?