Wa Lissu na Magufuli ni upepo unaovuma kwa kasi na utapita tu, kuna atakayeshindwa vibaya battle hii

Mungu tu ndiye alimuokoa hana u-smart huyo😅
YEAH nikweri Sir God alimuokoa Tundu ila jamaa anayo timing saaaaana kumbuka baada ya uchaguzi Jiwe alitaka amfute rasmi ila kwa jeuri yake alikimbilia Ubalozini ....anagekuwa Jiwe ndiyo alikuwa na windwa angekuwa anakimbilia baharini ili akapige mbizi atoroke.
 
Back
Top Bottom