Kinachowatofautisha Lissu na Magufuli ni Itikadi tu lakini vingine vyote wanafanana

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,009
142,041
Fanya Utafiti utagundua Tundu Lissu na Magufuli wanafanana sana na hasa kwenye kuusema ukweli bila kuchangia maneno.

Wawili hawa wote walinusurika kuuawa mmoja kwa sumu na mwingine kwa risasi kwa Sababu ya misimamo yao.

Dunia ya sasa inataka watu wagumu na makauzu kama hawa walio tayari kufa wakisimamia wanachokiamini.

Ila na wewe Lissu jifunze kutumia lugha za staha unapomzungumzia Mkuu wa nchi.

Mkuu wa nchi ni tofauti kabisa Mwenyekiti wa CCM, usisahau hilo, utanishukuru!
 
Back
Top Bottom