Wa kunisaidia antivirus hii hapa

Wa kunisaidia antivirus hii hapa

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,303
Naomba wajameni kama kuna mtu ana antivirus ya microsoft security essentials anirushie hapa
 
thanks a loooooooooooooooooooooot
 
inaniandikia sio compartible na pc yangu, yangu ni 32 bits
 
Mkuu.@real G Ningelikushauri utumie Anti-Virus ya Avast ni bora zaidi kuliko hiyo Anti-Virus ya Microsoft

Security Essentials
nti-hii ni Anti-Virus Feki haikingi Virus utakuja kujuta baadae Mkuu jaribu hii Anti-Virus ya

Avast hata mimi ndio ninayotumia ukitaka Bonyeza hapa Virus ya Microsoft yhttp://www.softpedia.com/get/Antivirus/Avast-Home-Edition.shtmla
 
Samahani mkuu mzizimkavu, vipi kuhusu hii avast antivirus inayoonesha expiry ni mwaka 2038, na ni free ni nzuri? namaanisha haina matatizo? nimewahi kuitumia nikaondoa sahz natumia kaspersky ya 2012, lakini natamani kuirudia ile avast kwani pc ilikuwa si nzito kama kwa hii kaspersky.

Back
Top Bottom