Mdogo wangu jrnedy wasikutishe kina Ciello na lara 1 siku hizi ni HAKI sawa kwa wote. Ukienda na mtu mtoko full kushare the Cost..sasa kwani kuna hela zimeandkiwa eti hizi za mwanaume au hizi za mwanamke??...Mie nikimpa kidate mdada ajue tutachangishana..maisha yenyewe yako wapi sikuizi....
Ciello me wala sina tatizo dada yangu. Me wangu tunaelewana mpaka sikuwahi kufikiria hii kitu. Kuna Mshakaji wangu kafanyiwa 'unyama' imeniuma. Ikanifanya nifikiri huu utaratibu wa kulipa ukoje. Utanisamehe Siwezi kuweka mazingira halisi hadharani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.