Habari
Inawezekana hili lilishawahi kujadiliwa. Kama ndiyo nikiwekewa link itakua poa. Kama halijawahi kujadiliwa nitashukuru kupata ushauri wenu.
Je mkaka unaye mdate mdada anayekuzidi kipato zaidi ya mara 3 (hamfichani kipato) na hamjatofautiana umri, mnapotoka out kumwomba mdada alipe mara moja moja ni vibaya?