magwio JF-Expert Member Joined Mar 19, 2014 Posts 266 Reaction score 80 May 21, 2014 #1 Nikiripoti mimi ni George Maratu wa ITviiiiiiiiiii...maraaaa
Red Giant JF-Expert Member Joined Mar 9, 2012 Posts 15,650 Reaction score 21,014 May 21, 2014 #2 namchukiaga huyu jamaa sababu hufanya mzaha kwenye habari. mbona maripota wa idhaa za kiswahili na vyombo vya kimataifa hawako hivyo. mbaya zaidi anaweza zunngumza vizuri tu.
namchukiaga huyu jamaa sababu hufanya mzaha kwenye habari. mbona maripota wa idhaa za kiswahili na vyombo vya kimataifa hawako hivyo. mbaya zaidi anaweza zunngumza vizuri tu.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,454 Reaction score 872,083 May 21, 2014 #3 anamuiga Reinfred Masako
Kibo10 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 11,278 Reaction score 8,868 May 21, 2014 #4 Mbona tukiongea naye bar sauti yake sio ya kuigiza? Hawaoni kina kikeke bbc?na watangazaji wengine makini?kuwa na ualisia wako maratu
Mbona tukiongea naye bar sauti yake sio ya kuigiza? Hawaoni kina kikeke bbc?na watangazaji wengine makini?kuwa na ualisia wako maratu