SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,076
- 75,427
Huyu je
kwa hiyo hapo anatafuta 'otherwise'huyu Wa tanga
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huyooo paka mapepe
Huyu je
Sasa huyu nihatari zaidi
Huyu je
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umefikiria nini kusema hivyo?Kinachonisikitisha binadamu wanavuka KAMA MBUZI na mbuzi wanavuka kama binadamu!
Binadamu wa Dar havuki kwenye zebra anavuka popote pale kama mbuzi....wakati mbuzi hao pichani wanavuka kwenye zebra kama binadamu wa kweli![emoji23] [emoji23] [emoji23] umefikiria nini kusema hivyo?
Mkuu kwa utaalamu wako hujagundua kuwa huyu anaweza kuwa binadamu ila anatuzuga tu?!!
Kinachonisikitisha binadamu wanavuka KAMA MBUZI na mbuzi wanavuka kama binadamu!
Aisee kweli kabisaBinadamu wa Dar havuki kwenye zebra anavuka popote pale kama mbuzi....wakati mbuzi hao pichani wanavuka kwenye zebra kama binadamu wa kweli!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huyooo paka mapepe
Umesema ukweli. Na maderva wengi hawaeshimu zebraBinadamu wa Dar havuki kwenye zebra anavuka popote pale kama mbuzi....wakati mbuzi hao pichani wanavuka kwenye zebra kama binadamu wa kweli!
πππKiuhalisia kuna wanyama wengi kwenye umbo la binadamu na binadamu wengi kwenye umbo la wanyama... Huyu ni Mmojawapo