Wa Africa tunakwama wapi

Wa Africa tunakwama wapi

craq

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2017
Posts
859
Reaction score
1,866
ina maana ni Afrika tu kuna wacha Mungu na wenye miujiza..huko Ulaya,Amerika ,Asia hakuna

FB_IMG_15511731154556618.jpeg


View attachment 1032382


FB_IMG_15511731579620456.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahahahahahahaha sasa kama walijua watamfufua walinunua sanduku la nini na suti, marehemu kanyolewa na pank kabisa hahahahah

get well soon tl
 
Mhubiri mfufua wafu kazungukwa na mabaunsa balaa, yaani mkishtukia uongo wake apate kujilinda. Hakuna cha kumtegemea Yesu ndani ya utapeli
 
Wizi mtupu,yaani sisi wakristo sijui tunataka Nini? Huu Ujinga mpaka lini? Hizi serikali ziingilie kati Kwa hawa fake pasrors
Serikali hazina namna ya kupima fake pastors na wengineo. Dini ni levels tofauti tofauti za kufikiri. Ukiniuliza mtu kama mimi nitakuambia hao wanaojiita pastors wote ni waongo tu
 
Serikali hazina namna ya kupima fake pastors na wengineo. Dini ni levels tofauti tofauti za kufikiri. Ukiniuliza mtu kama mimi nitakuambia hao wanaojiita pastors wote ni waongo tu
Kuna jambo hilo la kujifanya mtu kumfufua nikuleta taharuki Kwenye jamii
 
Kuna jambo hilo la kujifanya mtu kumfufua nikuleta taharuki Kwenye jamii
Mimi sina matatizo na wanawake kujaa huko kwa wachungaji maana wanazo sababu kadha wa kadhaa za kukimbilia huko. Lakini dume zime umening'iniza mananiliu unakaa unaongopewa na kijana mmoja tu na kiduku chake halafu unatoka pale ukiiulizwa swali moja tu juu ya mahubiri hayo huwezi kujibu na kuishia kupambana, kupinga na kuchefukwa bila hoja za maana
 
Back
Top Bottom