W J Malecela anafikiria au zuzu .asilimia 100%

Status
Not open for further replies.

THE HOME OF GREAT THINKERS! Mimi nafkiri kuna haja tukae na kutafakari kuliko kuendelea kujadili masuala binafsi yasiyo na faida kw jamii yetu, vinginevyo tutajeuka BENDI ZA TAARAB NA MIPASHO.
 
Nashauri wana JF tususie kuchangia threads kama hizi. It is a waste of time and energy to even comment on a malicious and pointless thread like this!
 


Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha!
 

- Hizi bongo wanaita swaggaz yaani hujui lolote on the man lakini unakurupuka tu, ha! ha! ha!, halafu tizama unasema Clubs zinatakiwa kuingiwa na watoto wa miaka 17, unasema haya maneno yanatolewa na Great Thinkers! ha! ha! ha! ha! kwamba wanoenda Clubs ni washamba! ha! ha! ha!

- I see I am back home, Twanga Pepeta pamoja na kuondokewa wapigaji wengi bado wapo juu sana it a great show, karibu sana next time! ha! ha! ha!


- RESPECT MUCH BRO!!


William.
 


Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha!
 

kudos William. una ngozi ya mamba. pamoja na kutukanwa kote u still reacts humorously! BIG UP!!!
 
kudos William. una ngozi ya mamba. pamoja na kutukanwa kote u still reacts humorously! BIG UP!!!

- Ni mti wenye matunda you know! ha! ha! ha! ha!, Mungu hakupi mzigo bila mabega ya kuubeba, ndio faida na hasara za umaarufu bro, lakini yote heri tupu! ha! ha! ha! halafu biashara ya utumbo niliitaka mwenyewe!1 so!1 ha! ha1


William.
 
Binafsi huyu jamaa namchukulia kama mtoto mdogo. Kama kiumri ni mkubwa basi interms of brain he is too young to think.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…