Jama kuna mtu ambae Hana wivu duniani? ??
kabisa....nisiijue tena....halafu unatakiwa ujaze fomu za bata system....unaonekana unafaa sana....
Ndio nimesifiwa sasa, habari ndio hiyo....:becky:
wapi picha........?
mimi nilionana na hawa.......
View attachment 78465 View attachment 78466
nikapumzika hapa..........
View attachment 78467
wewe ulifanyaje.....?....weka picha.........
Nilikuwa chooni...
imekuwaje....? umepita....?
Aisee ilikuwa wapi hiyo carnival? ??hapo pameshakuwa sebuleni......sasa hivi tunavuta kiupepo baridi kutoka kwenye kilima cha Sundowner Carnival.......karibu sana.....