WomanOfSubstance
Platinum Member
- May 30, 2008
- 5,457
- 972
Huu msemo kuwa " wasichana/akina dada husaidiwa na akina kaka vyuoni" unatoka wapi?
Nijuavyo mimi kila mmoja awe msichana au mvulana hufuzu kuingia chuo baada ya kupitia mchakato.Hakuna njia ya mkato.Iweje akishafika chuoni basi akili zake hupotea hadi asaidiwe kufaulu?
Huu msemo kuwa " wasichana/akina dada husaidiwa na akina kaka vyuoni" unatoka wapi?
Nijuavyo mimi kila mmoja awe msichana au mvulana hufuzu kuingia chuo baada ya kupitia mchakato.Hakuna njia ya mkato.Iweje akishafika chuoni basi akili zake hupotea hadi asaidiwe kufaulu?
Asante ndugu yangu.... hapo kwenye red hapooo! Kwani hao wasichana wachache ambao ni vichwa hawawezi kuwasaidia wenzao hadi watafute wavulana?...hebu dadavua zaidi...Inategemea huyu dada ameingiaje. Kuna wanaoingia kisiasa zaidi ili ku-equal idadi ya wavulana ktk fani husika.
Nakumbuka kuna mkakat flan nliwahi kuusikia wanafunzi wa kike walimwagma faculty ya engineering kwa fujo. Hawa walijiunga na chuo miezi kadhaa kabla wenzao wa mwaka wa kwanza waliochaguliwa kawaida hawajafungua chuo.
Lengo hapa lilikua kuwapiga msasa wadada hawa kabla ya chuo kufunguliwa.
Hebu mchukulie mdada alieingia ktk mpango huu wa 'ongeza idadi' tena engineering, what do you expect? Kutafuta mvulana (kumbuka hawa ndo wako wengi zaidi) ambaye atakua akimsaidia kimasomo.
Asante
Kwenye red.... nimekuwa nasikia na kusoma kuhusu hili na likanikera sana.. kitu watu wanasahau... kuna akina dada ambao nao wamejaaliwa kama kina kaka... je, akina kaka dhaifu huwatafuta wawasaidie au huenda kwa wanaume wenzao?Yaani umenjibu swali ninalonikera mara nyingi. Huwa nahuzunishwa sana na dhana ya kuwa mabinti zetu wanapendelewa na wakufunzi wa kiume au kusaidiwa na vijana wa kiume. Tunasahau kabisa kuwa walifaulu darasa la saba, la kumi na mbili na la kumi na nne bila ya mkufunzi yeyote kuwapendelea, na bila mvulana yeyote kuwasaidia; wakienda ulaya huwa wanafaulu tu bila ya upendeleo wowote. Hii tabia ya kuwadhalilisha akina dada kuwa hawajitahidi inakatisha sana tamaa. Ni watoto wetu, ni dada zetu, ni mama zetu, hebu tuwape staha.
Asante ndugu yangu.... hapo kwenye red hapooo! Kwani hao wasichana wachache ambao ni vichwa hawawezi kuwasaidia wenzao hadi watafute wavulana?...hebu dadavua zaidi...
Asante Pretty kwa mawazo na maneno yako mazuri...........Vile vile kuna tabia naona siku hizi inashamiri sana, mwanamke/mdada akiwa close tu na kiongozi wa siasa mwenye jinsia ya kiume basi mengi yanasemwa.......Ohhh anataka kupewa ubunge/uwaziri.
mwanamke huyo huyo akipewa position nzuri kazini basi watu wanaanza kuongea haswa wanaume. Je mwanamke ni mtu wa kubebwa kila mahali? Huyu kiumbe mwanamke hastahili position za juu ofisini hadi apendelewe?
Imefika kipindi inabidi tukubali tu kwamba mwanamke anaweza kufanya kitu kikubwa zaidi kuliko mwanaume. Kuna wanawake wana akili na wanajua kutumia akili zao kuliko wanaume.
Asante kwa mchango wako. Hapo penye red --- huo wivu unatokana na nini au inakuwaje maana kama ni kwenda abroad wote mmekwenda kivyenu vyenu....hakuna alieyembeba mwenzie....i studies abroad wote tulikuwa tunasaidiana girls and boys... to be honest men can be more helpful than women sometimes wanawake wanakuwa wanaringa mapozi halafu wivu sasa ndo usiseme...
Huu msemo kuwa " wasichana/akina dada husaidiwa na akina kaka vyuoni" unatoka wapi?
Nijuavyo mimi kila mmoja awe msichana au mvulana hufuzu kuingia chuo baada ya kupitia mchakato.Hakuna njia ya mkato.Iweje akishafika chuoni basi akili zake hupotea hadi asaidiwe kufaulu?
Upande wangu mi nadhani tatizo akina dada wakiwa na akili nyingi wanakuwa wachoyo waku share vipaji vyao mara nyingi, labda kwa ma best wao tu.
Whereby akina kaka wengi atuna utamaduni huo, na ukiwa natabia hizo si jambo la ajabu kupewa label, hivyo mara nyingi utakuta makundi ya makaka wakisoma pamoja. Since akina dada wengi ni calculative kushinda akina kaka (again my opinion) huwa hawajali who they look for to get help, lao liende. Na hii mara nyingi hu changia average students (akina dada) kuingia makundi ya makaka kwenye revision not to mention makaka huongeza bidii kwa kuwafuruhisha akina 'hawa' wakiwa na agenda zao nyingine na wao.
Asante kwa mchango wako. Hapo penye red --- huo wivu unatokana na nini au inakuwaje maana kama ni kwenda abroad wote mmekwenda kivyenu vyenu....hakuna alieyembeba mwenzie....
kusaidia au kutosaidia ni uamuzi wa mtu na kila mtu yuko huru katika hili.. nikikataa kukusaidia utasemaje nina wivu?Hapo juu nadhani BAK kasema kuna wavulana walikuwa wanawakacha wasichana kuwasaidia..ina maana hawa wakaka walikuwa wana wivu?
( usikwazike ndugu..nachangamsha mada ndio maana nauliza maswali haya)