Vyuo vya Udaktari

Vyuo vya Udaktari

Mrs Gudman

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2015
Posts
613
Reaction score
1,300
Habari naomba mnisaidie kimawazo
Mdogo wangu alisoma PCB shule ya kata akabahatika kupata one ya point 9, anachotaka kusoma ni MD pekee yake
Ameomba
UDOM-Amekosa
MUHAS-AmekosA
BUGANDO-Amekosa
KCMC-Amekosa
St. Fransis Ifakara-Amepata

Fee structure ya St. Fransis ni kubwa sana ada tu pekee ni milioni nne kamili ukiacha mahitaji mengine kama hostel

Vyuo vya serikali angalau ada siyo kubwa kihivyo ni 1.8M

Msaada
Huyu mwanafunzi akipata mkopo anaweza kuongezea kama kiasi gani ili atimize ndoto yake ya kuwa MD

Kama kuna mwanafunzi wa MD st. Fransis naomba anisaidie kujua uhalisia
 
ONE point 09, kwa hivyo vyuo asingeweza kupata ata Pharmacy na Nursing ni ngumu kupata,

Maximum Tuition fees ya Loan Board Ni 3ml hii kama umepata 100% unless wawe wamebadilisha,
Asante
 
Ukiachia mbali ukubwa wa ada ya st. Francis vipi ubora wa degree inayotolewa hapo?
 
Habari naomba mnisaidie kimawazo
Mdogo wangu alisoma PCB shule ya kata akabahatika kupata one ya point 9, anachotaka kusoma ni MD pekee yake
Ameomba
UDOM-Amekosa
MUHAS-AmekosA
BUGANDO-Amekosa
KCMC-Amekosa
St. Fransis Ifakara-Amepata

Fee structure ya St. Fransis ni kubwa sana ada tu pekee ni milioni nne kamili ukiacha mahitaji mengine kama hostel

Vyuo vya serikali angalau ada siyo kubwa kihivyo ni 1.8M

Msaada
Huyu mwanafunzi akipata mkopo anaweza kuongezea kama kiasi gani ili atimize ndoto yake ya kuwa MD

Kama kuna mwanafunzi wa MD st. Fransis naomba anisaidie kujua uhalisia
Ada ya Ifakara ni 4M,akipata mkopo HESLB huwa inatoa 3.5M kwa ada,kwa mwaka.....nashauri akomae tu,"costs" zingine zote kwa mwaka haziwezi zidi milioni 1.
 
ONE point 09, kwa hivyo vyuo asingeweza kupata ata Pharmacy na Nursing ni ngumu kupata,

Maximum Tuition fees ya Loan Board Ni 3ml hii kama umepata 100% unless wawe wamebadilisha,
Wamedilisha,before 2013 walikua wanatoa 2.6M,2013-2018,walikua wanatoa 3.1M,beyond that ni 3.5M
 
Ada ya Ifakara ni 4M,akipata mkopo HESLB huwa inatoa 3.5M kwa ada,kwa mwaka.....nashauri akomae tu,"costs" zingine zote kwa mwaka haziwezi zidi milioni 1.
Asante ka confirm Ifakara
 
Wazo la kibabe sana hili alifanyie kazi
Udom nursing alikosa pia
Kwa, sababu alikuwa na machaguo matatu
Md
Nursing
Physics
Chemia

Zote hakuchaguliwa
Seems mwaka huu ufaulu ulikuwa mkubwa sana
 
Sasa Hali niMbaya inamaana MD sikuhizi ni I ya 3,4,5,6 tuu?😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
 
UDSM wana MD ktk mbeya campus Ada ni 1.8m, very chiep. Hizo ni Ada tunazolipa nursery huku St. Schools
 
Back
Top Bottom