Vyuo vya Kisabato na degree ya sheria

Vyuo vya Kisabato na degree ya sheria

Sometimes you better keep your fingers and not bother. Try to imagine suala la Taasisi ya kidini kukosa kozi mtu analianziashia hoja hivi huwezi tambua kuwa huyu mtu ana lake jambo ila ameshindwa kwenda straight na anaanzia mbali tu vyuo vingapi havifundishi sheria na sio sheria tu Engineering, medicine, mbona vyuo vya serikali havifundishi theology na watu hawaulizi. Itafika hatua tutaanza kuulizana hata mavazi sasa kwanini unavaa suti. Vitu vingine heri kunyamaza tu

Hapa kuna something beyond....taasisi Ina Uhuru wa kuamua kile itakacho na kile isichotaka.
 
Huwezi kuchangia hoja bila kutoa lugha chafu? Hilo ndio swala.....! Kua mstaarabu siku moja moja..!
Sometimes watu wana agenda zao ila wanatafuta tu namna ya kuzianzisha
 
Mkuu LLB maana yake Latin legum Baccal...nimesahau hapo..

All laws of this world all are from CANON LAWS....

CANON LAWS is the mother of secular and Religious Laws..

Labda tungemuomba Dr. Slaa aje hapa atuambie atudadavulie....Sasa Wasabato hawasomi sheria kwa kuwa automaticclay watakuwa wana study sheria za kanisa Katoliki kwa asilimia kubwa.....

Kanisa katoliki huwa pia linajulikana kaka LATIN CHURCH..Tafuta kirefu cha LLB....

Wasabato huwa wananiacha hoi..
Wanakuacha hoi kwa lipi labda? Shikilia kile ulichonacho wala hutaona shina duniani..!
 
Sometimes you better keep your fingers and not bother. Try to imagine suala la Taasisi ya kidini kukosa kozi mtu analianziashia hoja hivi huwezi tambua kuwa huyu mtu ana lake jambo ila ameshindwa kwenda straight na anaanzia mbali tu vyuo vingapi havifundishi sheria na sio sheria tu Engineering, medicine, mbona vyuo vya serikali havifundishi theology na watu hawaulizi. Itafika hatua tutaanza kuulizana hata mavazi sasa kwanini unavaa suti. Vitu vingine heri kunyamaza tu

Kataeni ukweli...Ila hiyo ndo ilikuwa dogma ya Kisabato...Huenda walikuja kubadilisha dogma hiyo...
 
Hapo umenena ndugu

Unajua mimi sikujua kuna vita baridi humu, watu wanaleta udini na huwa sipendi kabisa kukashifu, kuongea na kudharau kile anachoamini mwenzangu..!
Sijui Eiyer alikusudia nini lakini ikiwa ni kwa ajili ya kukashifu, atakuwa amepungukiwa sana..
 
Last edited by a moderator:
Haya basi ngoja niwaache...

Kama haikuandikwa rasmi kwenye dogma zenu basi jueni huo ndo ulikuwa msimamo wa kanisa lenu..

Utakuwa umefanya jambo la busara sana kiongozi. Na tafadhali jaribu sana kushikilia kile ulichionacho, uwaache wengine waamini kwa uhuru wao.
 
shule za sekondari zenyewe hazifiki hata 10, najua shule ya Parane na Suji tu, ila kama nimesikia wana chuo kingine huko Tabata kinahusiana na issue za aviation?
 
Absolutely sasa dada angu. Hamna tofauti na mtu anayekuja kukuuliza kwanini wewe husomei udaktari kwanini unasomea uhandisi hivi huyo mtu unamjibuje.

Mbona vyuo vya kukatoliki vinalazimisha watu kufanya mitihani jmosi na wakikataa hufukuzwa? Hili mbona hawalihoji mbali na kwamba linakiuka haki za binadamu? Si bure ipo namna
 
Unajua mimi sikujua kuna vita baridi humu, watu wanaleta udini na huwa sipendi kabisa kukashifu, kuongea na kudharau kile anachoamini mwenzangu..!
Sijui Eiyer alikusudia nini lakini ikiwa ni kwa ajili ya kukashifu, atakuwa amepungukiwa sana..

Naweza kusema lengo la Eiyer kuleta hii mada si baya.... Labda alitaka kupata majibu mazuri kwamba kwanini vyuo vya wasabato havitoi hiyo fani...! Sasa shida inakuja kwa wachangiaji wengine km Huyo jamaa... Lkn km tutajikita ktk kujadili hoja km ilivyo na kutafuta majibu mazuri huenda tukaenda vzr na tukapata majibu kila Mmoja akarizika...!
 
Last edited by a moderator:
Thx mkuu......!

Sometimes you better keep your fingers and not bother. Try to imagine suala la Taasisi ya kidini kukosa kozi mtu analianziashia hoja hivi huwezi tambua kuwa huyu mtu ana lake jambo ila ameshindwa kwenda straight na anaanzia mbali tu vyuo vingapi havifundishi sheria na sio sheria tu Engineering, medicine, mbona vyuo vya serikali havifundishi theology na watu hawaulizi. Itafika hatua tutaanza kuulizana hata mavazi sasa kwanini unavaa suti. Vitu vingine heri kunyamaza tu
 
Wakuu,

Jana nilijuwa na jamaa zangu na niliwauliza kuhusu chuo kizuri cha sheria kwakuwa kuna jamaa yangu anahitaji

Katika mazungumzo hayo kuna jamaa alitaja chuo kumoja cha kisabato ndipo jamaa yetu akasema kuwa vyuo vya kisabato havitoi degree hiyo kwasababu ya kidini,nilishangaa

Bahati mbaya pale hakukuwa na mtu mwenye majibu sahihi ya maswali yangu,naombeni mnijuze kama hili lina ukweli na kama ni kweli ni kwanini

Karibuni Ntuzu Ishmael Mkuu wa chuo charminglady Basluma Original Otorong'ong'o Nkwesa Makambo Lisa Valentine na wengine ...

Some tips: College and University Dialogue

Do we need Adventist lawyers?
By Karnik Doukmetzian, Esq.
Twenty ago, as my generation was considering its career choices, becoming an Adventist lawyer was seldom an option in many countries.

Church members would take aside those who wanted to study law and counsel them to choose another career. Misperception of the role of a lawyer led to misdirected advice, often resulting in frustration among young people. They
wanted to serve their fellow believers and the community at large through the legal profession, but their church preferred that they enter the ministry or become teachers or physicians.

I recall an incident just after I had graduated from law school. I was participating in a church program on religious liberty when a member asked me pointedly, “How can you be an Adventist and a lawyer at the same
time?” I have even heard some people say that Ellen White had warned against such a career choice.

The fact is that Ellen White gave a quite different—but still challenging—counsel on this subject: “It requires more grace, more stern discipline of character, to work for God in the capacity of a lawyer,…carrying the precepts of Christianity into the ordinary business of life, than to labor as an acknowledged missionary in the open field. It requires a strong spiritual
nerve to bring religion into the.…business office [shall we say, courtroom?], sanctifying the details of everyday life, and ordering every transaction to the standard of God’s Word. But this is what the Lord requires.”

...........................
 
wasabato hawawezi kuwa na idea ya kuwa na chuo kiuu,wao wanajua tu biblia na kubishana kuhusu hiyo biblia

Hivyo ni Africa tu! kwakweli sipendi watu wapotoshaji sababu ya ignorance yao.
 
Wewe ni mwongo mbona wanachuo hapa Tanzania kinaitwa University of Arusha! Kenya kipo University of Eastern African Baraton, Uganda Bugema University,Rwanda Kipo,DRC,zimbabwe,south africa Ulaya na marekani ndiyo usiseme vipo kibao! wewe ni mwongo unaaandika mambo usiyo jua bora ukae kimya kama hujui kitu.
tena wasabato wa hapa kwetu tuna udhaifu sana ndo maana haya yote yanatokea. Wasabato wa haswa wapo tena wapo. Nenda kenya nenda Uganda kaangalie institute za wasabato anza na shule hospitali they are Good na kizuri zinatoa huduma kwa dini zote na hata watu wa madhehebu mengine wanaisifu huduma zao huku wakiendelea na majanisa yao. Hizi dini hata waliozileta walipeshana kimawazo na hata leo wanapishana ila sio kufikia hatua ya kutukanana na kudhalilishana
 
shule za sekondari zenyewe hazifiki hata 10, najua shule ya Parane na Suji tu, ila kama nimesikia wana chuo kingine huko Tabata kinahusiana na issue za aviation?
Ndio maana mnaambiwa, kama hujui uliza, kama hutaki kuuliza basi kaa kimya. Ukiongea hivyo unaonekana wa ajabu.
 
SMU Asante sn mkuu...!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: SMU
Back
Top Bottom