Vyuo vya kilimo na mifugo

Dine

Member
Apr 19, 2012
57
6
Habari wanajf tafadhalini sana naomba kufahamu kama kuna vyuo vinavyotoa kozi za kilimo na mifugo ambavyo sio vya serikali maana wk tatu zilizopita nilisikia tangazo clouds fm wakitangaza chuo cha kilimo na mifugo bagamoyo naomba nifahamishwe ndugu zangu
 
hakuna chuo cha private kinachotoa mafunzo ya kilimo na mifugo zaid ya vyuo vya serkal.

Juz nilienda pale wizara ya kilimo kuulizia kama wametoa maombi ya kujiunga na vyuo hivyo. Wamesema wanaweza kutoa mwishon mwa mwez huu au mwanzon mwa mwez may kwenye website zao.
 
nashukuru kwa ufahamisho wako mpendwa
 
Back
Top Bottom