VYUO VYA AFYA.

VYUO VYA AFYA.

Brilucy

Member
Joined
May 23, 2020
Posts
7
Reaction score
5
Samahanini Ndungu..Kwanza Habarin Za Wakati Huu. Mimi Nina Swali.. Hivi Ukitaka Kusomea MD Ni Miaka Mingapi After Kumaliza Form 6. Na Je Ada Yake Inacost Ngapi Kwa Mwaka Kuanzia Mwaka Wa Kwanza.
Ufafanuzi Tafadhali.
 
Kabla ya kukujibu,

Nikuulize uko nchi gani mkuu mpaka usijue kusoma MD Tanzania ni miaka mingapi mpaka kumaliza?

Pili, kuhusu Ada inategemea na chuo ulichosoma, kwa serikali Ada ni 1.8M per year kwa vyuo vyote yaani UDOM, UDSM na MUHIMBILI but kwa vyuo private inategemea na chuo, mfano BUGANDO ni 3.7M, HERBERT KARIUKI ni almost 6M kwa mwaka mmoja, na KCMC ni kama 2.6M kwa mwaka so inategemea wapi utaenda kusoma

NB; maelezo mazuri na ufafanuzi mfano cut off point za kila chuo nenda uka download TCU guidebook ina kila kitu

Kila lakheri mkuu!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahanini Ndungu..Kwanza Habarin Za Wakati Huu. Mimi Nina Swali.. Hivi Ukitaka Kusomea MD Ni Miaka Mingapi After Kumaliza Form 6. Na Je Ada Yake Inacost Ngapi Kwa Mwaka Kuanzia Mwaka Wa Kwanza.
Ufafanuzi Tafadhali.
MD ni miaka 5 unasoma chuoni ukimaliza hiyo unakwenda mwaka mmoja wa mazoezi hospital inaitwa Internship ukimaliza hiyo ndio utatambulika kama daktari na utaweza kusajiliwa na Chama cha madaktari Tanzania.
Ada inategemea na chuo utakachokua unasoma mfano vyuo vya serikali kama UDOM ni 1.8M kwa mwaka! Ila ukienda kama KAIRUKI ni arround 6M kwa mwaka.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom