Sasa mkuu unadhani ni kijana gani mwenye akili timamu ambaye yupo tayari kwenda hivyo vyuo mbuzi?
Nani Haende Teku Sasa..
teku kiko wapi?
Jifunze kuandika lugha ya taifa vizuri sasa neno ''haende'' ni sawa na neno ''aende''?
Main campus ipo Mbeya alafu kina matawi kama Tabora ect.
Nawe Jifunze uandishii ID yako inaanza na herufi ndogo...