Vyuo vinavyotoa masomo kuanzia mchana au jioni kwa kada ya Uhandisi

Evans-Arsenal

JF-Expert Member
Jan 10, 2016
868
1,385
Naomba kufahamu vyuo vinanavyotoa Diploma of Civil, Electrical, Water Eng, Computer etc ambavyo vinatoa masomo muda wa asubuh na ratiba nyingine wanafunzi wanaruhusiwa kusoma masomo Mchana au Jioni kwa walioshindwa kuhudhuria asubuhi sanasana kwa vyuo hivi:

-DIT
-NIT
-WDMI (Chuo cha Maji)
-Institute of Land management.

Na vyuo vingine
Shukurani wakuu.
 
Nipo moro mkuu
Asante, Nataka kusoma Kwa evening classes
Jaribu ucheki hapo mkuu au nenda kwenye website Yao utapata info nyingi. Hapo kwenye attachment utaona kozi wanazotoa.
 
Attachments

  • DIT-APPLICATION0 FOR ADMISSIONS 2016-2017[1].pdf
    127.8 KB · Views: 765
Engineering usome masomo ya jioni kweli?.Ulipata BBC-PCM? Pale DIT kulikuwa na Laboratory Techician(s) wakienda kwa masomo hayo. Ungeenda kwa mtiririko huo na ukiwa na vision ya mbali utakuja kuwa maabara yako mwenyewe.
 
Nlipata BBC olevel mkuu
 
Back
Top Bottom