VYUO VINAVYOTOA CERTIFICATES KATIKA MASUALA YA MADAWA YA BINADAMU (Pharmacy related certificates) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

VYUO VINAVYOTOA CERTIFICATES KATIKA MASUALA YA MADAWA YA BINADAMU (Pharmacy related certificates)

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by CHE GUEVARA-II, Aug 5, 2011.

 1. CHE GUEVARA-II

  CHE GUEVARA-II JF-Expert Member

  #1
  Aug 5, 2011
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 531
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Habari zenu wakuu?
  Naombeni msaada wenu mnijulishe na/ au kunipatia contacts za vyuo vinavyotoa elimu ya certificates katika masuala ya madawa ya binadamu.
  Kuna kijana anatafuta ili akasome aweze kufungua kiduka chake cha daw baridi/ duka la dawa muhimu.

  Yeye amemaliza kidato cha nne na amepata Division four ya Form Four For Four years only attending Dinning hall and Dancing! Si ile division ya Form Four For Four years Fighting For Food.

  Naombeni msaada wenu hasa vile vinavyotambulika na Tanzania Food & Drug Authority (TFDA).
  Nilishawahi kusikia chuo fulani ambacho kina branch mbili, moja ipo Kigamboni, nyingine ipo Mbande

  Thanks.
   
Loading...