Ndy ina mahesabu huwezi kusoma system bila nambaEt bachelor of health system management Ina mahesabu ? Na pia maisha ya mzumbe main campus yapoje? Hostel zake na ubora wa chuo je upoje
Kawaida tu sema kila Mtu na upeo wake inawezekana kwako wew ikawa kawaida kwa wengine ni ngumuMahesabu mengi sana au kawaida tuu