Vyuo vikuu wampendekeza January Makamba kuwa Rais ajaye

Vyuo vikuu wampendekeza January Makamba kuwa Rais ajaye

View attachment 107667

Alisema kuwa sifa nyingine za Makamba ni pamoja na uwezo na ujasili katika nafasi za uongozi alizoshika ikiwemo ya Ubunge wa jimbo la Bumburi mkoani tanga,uwenyekiti wa kamati ya nishati na madini,ujumbe wa kamati kuu na naibu waziri alinao sasa.

Rais huyo wa Chuo kikuu cha Mzumbe alisema kuwa katika mkutano huo wasomi hao walijadili kwa kina sifa ya rais anayepaswa kuchaguliwa katika uchaguzi ujao bila kujadili itikadi za kisiasa ambaye atawaunganisha watanzania na kutibu uhasama na mgawanyiko ulianza kujitokeza baina ya makundi mbalimbali.

Alisema kuwa katika mjadala huo wasomi hao walitaka kiongozi atakayeenda na wakati wa sasa na mwenye fikra mpya na asiyekuwa na udini wala mkabila na asiyeendeleza siasa za kikanda na asiye kuwa na chuki wala mapambano ya kisiasa na uhasama na kubaini Makamba ndie anayefaa kwakuwa anazo sifa zote.
.................... NIPASHE Morogoro

Mimi Nina swali moja la kizushi, Hivi January ameshawahi kufaulu mtihani wowote wa Taifa??
Darasa a Saba alifaulu kwa shule ipi ya Msingi?
Alichaguliwa kujiunga kidato cha kwanza shule ipi?
Kidato cha Nne alimaliza shule gani?
Kidato cha Nne alifaulu kwa Division na Point Ngapi?
Alichaguliwa kujiunga na kidato cha Tano shule gani?
Kidato cha Sita alimaliza Shule ipi?
Kidato cha sita alipata Division gani na point ngapi?
Alichaguliwa kujiunga na Chuo Kikuu kipi?

Kila mtu ana Interest zake, vyeo vingi alivowahi kushika vinaweza visimu-impress mtu wmingine kama ambavyo mimi sijawa impressed ila historia ya ufaulu wake inaweza kunifanya nimfikirie kwa nafasi hiyo.
 
Ngoja Great Thinkers watupe data...
 
Walitaja Makamba kawalipa sh'ng ngap?? alafu mbeya hakuna UNIVERSITY...!

Nahisi hawa watoto wa chuo hawaijui katiba inayoendesha serikali sasa. Lakini mirisho pm unamaanisha nini kusema Mbeya hakuna University? Kwako university ni nini?
 
Last edited by a moderator:
Walikua wanajisomea "prepo" ndipo likatoka hilo wazo...Haya wazunguke hiyo nchi tuone
 
Hivi kila anayepitia Chuo Kikuu tumuite Msomi? utaitwa msomi tu pale utakapokuwa ile elimu uliyopitia imekusaidia kuwa na uelewa wa mambo mengi yakiwemo hayo ya masomo na mengine ya hapa duniani na hasa uraiani , hao vijana sijaona kama ni wasomi kwa sababu kuna kitu wamepungukiwa.

Umenena mkuu....
 
Wamesema han skendo au wanakumbushia kale kaskendo. Hivi hakuna mwenye kale kaemail kati yake na dada yake yulee.... kule...., mpaka sasa skendo ipo.... hawajui hao muwaombee...muwasomee....
 
Kikwete ameufanya urais umeoneka cheap sana.

Kuhusu uyo dada anayelamba picha ; ninachoona ni kile kile kilichosemwa na wadau kuwa 'njaa ni mbaya sana hasa ukizi hadi ikapanda kichwani'

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
hakuna wasomi hapo kwanza hao viongozi wa vyuo vikuu asilimia kubwa wanatoka kwenye chama cha magamba then si kuona hatari kwa matokeo hayo, na fikiri kipimo hicho walicho kuwa wanataka kufanya wangefanya research kwa wanafunzi wote wa vyuo vyao ndio wangepata majibu sahihi.

makamba anaweza kuwa kiongozi mzuri, ila si kwa kiwango cha Zitto Zuberi Kabwe bado ana hitaji muda mrefu sana kujiimarisha hata kwenye chama chake, huyu kijana hawezi hata kumfikia Deo Filikunjombe hawezi kabisa labda wanataka awe rais wa serekali zote za wanafunzi wa vyuo vikuu.

Ila si raisi ya nchi hii ambayo ilisha ongonzwa na Baba wa Taifa ambae alikuwa na sifa zote za uongozi.
 
Ujumbe muhimu ninaouona hapa ni kwamba WASOMI wetu hawa wanasema CCM ndio chama kinachopaswa kuiongozi Tanzania towards a brighter tomorrow...

Hao sio wasomi ka mkubwa ....ndo kwanza bado akina-chiwawa
 
Niulize kidogo hapo. Huyu Januari Makamba ni mtoto wa yule mwanafunzi wa shule ya msingi aliyetembea na mwalimu mkuu? au ni mtoto wa mke mkubwa!

Hivi kila anayepitia Chuo Kikuu tumuite Msomi? utaitwa msomi tu pale utakapokuwa ile elimu uliyopitia imekusaidia kuwa na uelewa wa mambo mengi yakiwemo hayo ya masomo na mengine ya hapa duniani na hasa uraiani , hao vijana sijaona kama ni wasomi kwa sababu kuna kitu wamepungukiwa.
 
Mimi Nina swali moja la kizushi, Hivi January ameshawahi kufaulu mtihani wowote wa Taifa??
Darasa a Saba alifaulu kwa shule ipi ya Msingi?
Alichaguliwa kujiunga kidato cha kwanza shule ipi?
Kidato cha Nne alimaliza shule gani?
Kidato cha Nne alifaulu kwa Division na Point Ngapi?
Alichaguliwa kujiunga na kidato cha Tano shule gani?
Kidato cha Sita alimaliza Shule ipi?
Kidato cha sita alipata Division gani na point ngapi?
Alichaguliwa kujiunga na Chuo Kikuu kipi?

Kila mtu ana Interest zake, vyeo vingi alivowahi kushika vinaweza visimu-impress mtu wmingine kama ambavyo mimi sijawa impressed ila historia ya ufaulu wake inaweza kunifanya nimfikirie kwa nafasi hiyo.

Aliwahi kufaulu kumtampeli dada flani wa kimarekani tena akiwa ameambatana na kikwete.

So, kwenye kitengo cha utapeli tumpe A amefaulu.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Ndugu Makamba,with all due respect HAUFAI kuwa kiongozi wa nchi hii.Kikwete took the barrier way too low already,please don't contemplate lowering it even further.

Having a Big-shot parent who helps you further your political ambition and being a proper leader are not the same thing.we all know you are just good for a middle level position,may be a team leader.You are young enough to live long enough to see the consequence of having a stone in place of a leader at the statehouse.we paid dearly for 8 years,we have two more years to pay.Kenyans are paying for they UHURU gaffe,Egypt overpaid for Mursi's,so please stay away.common mwananchi is barely ok with you plundering our resources as an "elected" MP.thats about enough damage you can cause.
 
.....siku hizi nchi hii ya Jakaya kila kitu siasa...hadi vyuoni....wanafunzi wameacha kusoma wanafanya maji taka....kwanza hata kujiunga kwao vyuoni siku hizi usanii tu...hivyo sishangai kauli kama hizi....hawa ndio wanaotegemewa waijenge TZ ya kesho....hawa ndio ukiwauliza TZ ni muunganiko wa nchi gani wanasema zenj na zimbabwe.....no wonder.....
 
Another foolish, ndio maana nchi hii aliyesoma hana tofauti na asiye soma, hata kama kuna katofauti ni kadogo sana.
 
Back
Top Bottom