Vyuo vikuu vya Afrika Kusini kutoa Shahada ya Uchawi

Vyuo vikuu vya Afrika Kusini kutoa Shahada ya Uchawi

Huu ndo wakati wetu Wana jf wanaotoa mada za uchawi kupata ajira ya kufundisha, SIPATI PICHA INTERVIEWS ZA KUWAPATA LECTURE NA PROFESSOR WACHAWI zitakuwaje.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Nafikiri kati ya Mzizi Mkavu au Mshana lazima mmoja awe Dean wa chuo piga ua galagaza.
 
Hahhahahaaaa sasa Frank unadhani mtaa huu nitakosekana tena! Hivi unionavyo najiandaa kwenda huko b4 December
Kwa shahada mkuu umevuka labda kama wataanzisha shahada ya uzamili ndiyo uwende kwa sponsorship ya Le Mutuz aliyotangaza.
 
Ukerewe hawana lolote zunguka Tanzania hi ujionee nenda kuna sehemu inaitwa Nyasa karibu na Mbambabay mkoa wa Ruvuma,Ludewa ndani huko wanapima radi hadi za mia 5(ambako shoka iliungua mpini ukabaki),Tanga(pangani),Ngende(Mtwara) Makete ndanindani,Sumbawanga(kuna kijiji nimekisahau jina ambacho waliweka rekodi ya Mwewe kunyanyua ng'ombe alienona na rekodi Haijawahi vunjwa,Kigoma(Kibondo),Kyela mpakani mwa TZ na Malawi nk
hawa jamaa wa nyasa (upangwa) wanafuga mamba
 
Huwa Naangalia clip za America got tarent youtube..hiv wale magicians c n wachawi wale?...na niliona chuo cha kufundisha mambo hayo...c kufundisha uchawi? Labda na wazir kaona atunze uchawi wao.
 
Ukerewe acha kabisa , kuna kisiwa kimoja nimekisahau jina, v
 
hawa jamaa wa nyasa (upangwa) wanafuga mamba
Yaah ni wataalamu sana hadi radi za kupima wanazo yani inaweza tumwa ikakufikia ndugu wakaonyeshwa maiti yako wakaikataa mana watashindwa kukutambua
 
Mwenye kufahamu kama hizi kozi zimeanza kutolewa huko chuo kikuu cha Afrika Kusini anijuze
 
duuu tuwainngize national team
.
20230413_223447.jpg
 
Ilala kuna chuo ila kukipata ndio shughuli
Hata Temeke pana chuo kinafundisha Uganga degree miaka 7 darasani.
Unakula miaka 5 masomo ya uchawi darasani na vitendo ukifuzu ndo unaingia darasani la uganga kwa miaka 2.
 
Back
Top Bottom