Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 371,617
- 860,794
Ni full ushirikinaKwamba na chuo kimejaa kichawichawi au sifa za kujiunga ndiyo ngumu? Au ugumu wa kukupata unasababishwa na nn?
Ni full ushirikinaKwamba na chuo kimejaa kichawichawi au sifa za kujiunga ndiyo ngumu? Au ugumu wa kukupata unasababishwa na nn?
Hiki zamani si kilikuwa Buguruni Mnyamani?Hata Temeke pana chuo kinafundisha Uganga degree miaka 7 darasani.
Unakula miaka 5 masomo ya uchawi darasani na vitendo ukifuzu ndo unaingia darasani la uganga kwa miaka 2.
Temeke kipo kinachoonekana na kisichoonekaHiki zamani si kilikuwa Buguruni Mnyamani?
Mkuu nitajie baadhi mm nikasomee ujuzi wa kupaa kwa ungoSauzi mbali kote hali bongo vyuo vimejaa
Sasa kwa mtu kama mm nisiyeona kuwa ni chuo (naona miembe) nitatuma vipi maombi?Temeke kipo kinachoonekana na kisichooneka
Kisichoonekana kipo pale sabasaba njia ya ng'ombe kwenye miembe mingi pale.Kwa macho ni miembe kiroho ni chuo kikubwa tu majengo ya kutosha.
Ulimwengu usioonekana upo more advance kuliko ulimwengu unaonekana.
Ni full ushirikina
Chochote ukihitaji duniani utapata mlango wa kukufanikisha.Sasa kwa mtu kama mm nisiyeona kuwa ni chuo (naona Milembe) nitatuma vipi maombi?
Ili iweje fanya jambo kwa faida YAKO lisilofaida nalo achana nalo.Mkuu nitajie baadhi mm nikasomee ujuzi wa kupaa kwa ungo
Ha ha haaaaa wewe ni Ms***nge kwa hiyo alikuwa anawaza!Bangi pia kama hujaizoea ina tabia ya kukufanya uone ndoto ulizoota ni uhalisia [emoji1] [emoji1] [emoji23]
Pengine hujawahi kufika hata hilo eneo ni bangi tu inakuonyesha kwamba ulienda huko kizazi [emoji100] [emoji100] [emoji125] [emoji125]
KinaitwajeHata Temeke pana chuo kinafundisha Uganga degree miaka 7 darasani.
Unakula miaka 5 masomo ya uchawi darasani na vitendo ukifuzu ndo unaingia darasani la uganga kwa miaka 2.