Vyuo Vikuu visivyo na sifa kufutwa!

umezingatia viwango vinavyoruhusiwa kuchukua degree au umeongea tu kwa hisia zako
 
St.joseph college of engineering and technology
Katika Tanzania ya sasa hakuna chuo kinachotoa digrii ya Teknolojia na Injinia kizuri kama hiki, unless wewe kichwani ni -0 IQ
 

Hasira za nini?! Na hasira za kina nani?! Na juu ya nani??!
 

Umenena vyema comrade!! Na sidhani kufuta vyuo hivyo kutasaidia kupunguza IDADI YA VIJANA WASIO NA AJIRA MTAANI, kama chanzo kinavyoripoti....
Binafsi nadhani ni busara sasa shule na vyuo vya ufundi viboreshwe ili kuwajengea vijana elimu ya ujasiliamali na ubunifu. Vyuo vingi vinaandaa waajiriwa, ila ajira rasmi ni chache mno tanzania, kuna article moja nilisoma siku chache nyuma, ratio ya ajira na wafanyakazi (wanaotafuta) ni 1:101......now this is bad.
 
.......na hili suala la wenyeviti wa vyama vya siasa kuwa na elimu ya form six failure inabidi litizamwe upya na msajiri wa vyama.

Hili ni JIPU na lishaiva tayari na sasa litumbuliwe tu.
Siwezi kuwa adui kwa kusema ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…