Vyuo vikuu tumieni mfumo wa division hizi GPA zinatuchanganya wazazi

GPA ni international standard ya elimu ya juu... hayo mambo ya division ni local.... ww una force waweke division kwenye elimu ya kimataifa una force 2... kiufupi wakiweka gpa inakuwa inajulikana popote wana deal na m2 wa level gani... ss hawawezi kubadili mfumo kwa faida ya wa2 wachache... kma huelewi pambana na hali yako..... by the way gpa mbwe mbwe 2.. mtt anaweza akawa na lower second... ila akawa vzr 2 kazini zaidi ya mwenye first class
Asante kwa kunijulisha kuwa una lower second. Ila mi hoja yangu huyu aliyepata pass with honour na aliepata division four wana tofauti?
 
Pass na division four ni sawa??

Baadhi ya vyuo C ni 50 na ukipata 50 kwenye masomo yako yote ya chuo ndo unakuwa na hiyo gpa ya 2.0 ambayo ndo pass ya mwisho..na mtu amefaulu

Sasa division four huyo mtu kwa level ya secondary si ni kama amefeli tu??
 
Mi kwa uelewa wangu mdogo division four ndio ufaulu wa mwisho huko sekondari, labda wataalam watusaidie
 
Na akimaliza usisahau kumtafutia kazi Mkuu maana kuna maisha baada ya kufaulu Masomo Muandae mwanao akirudi mtaani asiwe mgeni😄
 
Pass na division four ni sawa??

Baadhi ya vyuo C ni 50 na ukipata 50 kwenye masomo yako yote ya chuo ndo unakuwa na hiyo gpa ya 2.0 ambayo ndo pass ya mwisho..na mtu amefaulu

Sasa division four huyo mtu kwa level ya secondary si ni kama amefeli tu??
Msomi unashindwa Kutofautisha Division Four Na Division Zero!

Au Hujui kama kuna watu wana Division Four na wame Persuide PHD mpaka sasa je hiyo ni Failure🤔
 
Ndio hao wasomo wetu wenye pass with honour, sasa msomi anajichanganya je mimi nisie soma ntaelewa kitu hapo kweli?
 
Asante kwa kunijulisha kuwa una lower second. Ila mi hoja yangu huyu aliyepata pass with honour na aliepata division four wana tofauti?
hehe mm ckuenda chuo kutafuta GPA afu kwa bahati nzuri ss cjapata hyo lower second ilikuwa mfano 2... ila nlichofata chuo nimekipata... na nashkuru maisha yanasogea.... na hata ningepata pass maisha yangeendelea vile vile... narudia tena usi force gpa standard ziwe kma division hii ni shida yakukosa uelewa..
 
Mi nakiri sina uelewa ndio maana nimeomba mfumo wa division utumike wala sijatumia nguvu ila sijampata wa kunielewesha vizuri. Ila wewe mfumo wa divusion unauonaje?
 
imani yako ndio tatizo mzee.... unaamini kuwa na division 1 ndio kufanikiwa maisha...ni vizuri m2 ku score high mark kwakweli inapendeza.... kikubwa mfumo wa division sio mbaya kwakuwa ndio umeuzoea.. ila ss vyuo vinaendana na mambo ya dunia.. incase unaenda kusoma nje.. wanajua una qualification gani.. na kumbuka sio nchi zote zinaelewa division standard.. unachotaka ww chuo kitoe matokeo kwenye mifumo miwili... kwajili yako na kwafaida ya watu wengine... so ugumu unaanzia hapo. wafate wa2 wachache au wa2 wengi...
 
Habari wanajamvi?
Wazazi siku hizi tumekuwa na hamasa kubwa ya kusomesha watoto wetu hadi elimu ya juu, tatizo kubwa wazazi wengi aidha tumeishia la saba au hatukusoma kabisa.
Sasa matokeo ya watoto wetu yakitoka unakuta tu cheti cha matoto kimeandikwa "pass with honours" sasa mimi kama mzazi nashindwa kujua mwanangu amepasua sana au amepata ufaulu wa chini.
Hivyo naomba chonde chonde tumieni mfumo wa division kwani mwanangu akipata division four najua tu hapa hamna kitu. Naomba kuwasilisha
kama hajawahi kupita chuo huyo mzazi labda hapo ndo inakuwa shida.Kama hajawahi kabisa kufika chuo inabid ajifumze tuu maana hamna namna kwasababu mfumo wa usomaji na usahihishaji wa chou ni ngumu sana kugrade kwenye division...mfano kuna alama zinatolewa kupitia quiz, assignment{individual na roups} sasa vitu vyote hivi kuviweka kwenye division inakuwa ngumu ndio maana kuna formulas zao ili kujumlisha hivyo vyote...tofauti na shule mtu amategemea mtihani wa mwisho peke yeke
 
Habari wanajamvi?
Wazazi siku hizi tumekuwa na hamasa kubwa ya kusomesha watoto wetu hadi elimu ya juu, tatizo kubwa wazazi wengi aidha tumeishia la saba au hatukusoma kabisa.
Sasa matokeo ya watoto wetu yakitoka unakuta tu cheti cha matoto kimeandikwa "pass with honours" sasa mimi kama mzazi nashindwa kujua mwanangu amepasua sana au amepata ufaulu wa chini.
Hivyo naomba chonde chonde tumieni mfumo wa division kwani mwanangu akipata division four najua tu hapa hamna kitu. Naomba kuwasilisha
Yaani GPA ya mtoto inakupa homa mzazi?
 
We unatafuta namna ya kujifagilia sio 😆😆😆 aya tushajua umefaulu. Kula kona!
Unajua sisi wazazi ambao hatujasoma tunapata shida hasa linapokuja suala la kumpa motisha mwanao, unamuahidi mtoto ukifaulu vizuri ntakupa zawadi flani sasa matokeo yakitoka anakuchanganya changanya ili apate zawadi hata kama hastaili ndio maana nikaomba mfumo nnaouelewa
 
Hebu acha ujuha bwana! Jitu zima la chuo kikuu linalilia vipi zawadi?
 
Habari wanajamvi?
Wazazi siku hizi tumekuwa na hamasa kubwa ya kusomesha watoto wetu hadi elimu ya juu, tatizo kubwa wazazi wengi aidha tumeishia la saba au hatukusoma kabisa.
Sasa matokeo ya watoto wetu yakitoka unakuta tu cheti cha matoto kimeandikwa "pass with honours" sasa mimi kama mzazi nashindwa kujua mwanangu amepasua sana au amepata ufaulu wa chini.
Hivyo naomba chonde chonde tumieni mfumo wa division kwani mwanangu akipata division four najua tu hapa hamna kitu. Naomba kuwasilisha
Mkuu utanisamehe ila nikwambie kwamba shida ipo kwa mwanao ameshindwa kukuelewesha kwani sidhani kama kuna ugumu wa kuzielewa hizo GPA kama atakuelezea kwa umakini.
Kuliko kubadili mfumo mzima ni bora kumwomba mtoto ambaye ni mwanafunzi wa chuo kukuelezea juu ya hizo GPA kama naye anababaika ujue jina lake ni mwanafunzi ila sio mwanafunzi wa chuo
 
Back
Top Bottom