Vyuo Vikuu Tanzania vyaanguka

me binafsi cjui mpaka leo hvyo vyuo kama viko hapa tanzania,me nijuavyo tanzania vyuo ni udsm,sua,udom,mzumbe,muhimbili na ardhi..sasa sijui hvyo vingne vimetoka wapi!



Yaani kusoma kote bado unafikiri TZ ina vyuo hivyo tu?? unaonekana umetokea kwenye maisha duni Sana na kifukara kiasi cha kuwa limbukeni Wa mambo Kama sokwe.....

Vyuo vilishindanishwa kuanzia ngazi ya taifa kabla ya kwenda Kule na hivyo ulivyotaja havikufurukuta.....

Mfano mzuri Wa vyuo hivyo kuwa si kitu ni wewe yaani the way ulivyo na arguments zako hauna tofauti na chakaramu asiyewahi kanyaga hata madarasa ya sekondari....

You are too low!!!!!!
 
Tatizo vyuo vilivyowakilisha nchi yetu ni vyuo mbuzi, wangepeleka state university kama UDSM na Mzumbe tusingepata aibu hii.


Hivyo vyuo ulivyotaja vilishiriki hatua ya awali ngazi ya taifa vilishindwa......


Kama hivyo ndo unaviona bora mbona mbona mashindano ya Zain challenge vilikua vituko??

Tuseme ukweli uwezo Wa wanafunzi Wa kitanzania Wa Leo bila kujali anatoka wapi ni very poor

power of reasoning ni very poor....

Thinking capacity ni very poor......
 
Kichwa habari na content vinapotosha. Vyuo vya Tanzania kumbe ni mashindano ya topic kwenye degree moja tu. Sijui mleta mada kalenga nini?
 
Back
Top Bottom