Vyuo vikuu; msingi wa ndoa mbovu

kwa vyuo vya dar.. chuo ambacho kina wanawake wengi wanajiheshimu ni udsm ndio angalau...ila vyuo vinavyobaki ni drama tupu
Mkuu vipi Muhimbili.

Unailinganishaje na UDSM kwa wasichana kujiheshimu?

Ugumu wa masomo pia unachangia wanafunzi kujiheshimu maana muda mwingi wanakuwa busy na masomo, Muhimbili watu wako busy japo vimbwanga havikosekani
 
Huo ni upuuzi wa chuo, huwa wananyooka wakiingia kitaa!
 
Hata kama unataka kuhalalisha uzinzi na anasa hizi sababu ulizotia ni nyepesi sana, wengi tumepita huko mavyuoni ila mienendo yetu ni ya kawaida na tuna misingi mizuri kila idara kuanzia kwenye mahusiano hadi kutafuta maisha
Kama we haukufanya kipindi upo chuo haina maana na wengine hawakufanya. Cha muhimu ni kwamba kila kipindi kina makundi yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli me nilipokua chuo anasa zilinipitia kushoto sababu sikua na kitu. Mkopo nilikosa nikasoma kwa tabu sana, hivyo sikua na time ya demu wala kwenda clubs. Watu aina yangu tulikua tunaitwa 3-0 yaani wakimaanisha miaka mitatu chuo bila kuopoa demu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

mkuu safi sana yaelekea ulipiga sana gpa.. mimi natamani ningekuwa na maisha yako.. chuo nilikuwa mtu wa anasa sana kwa kweli
 
Nina Imani unaishi kwa raha mustarehe hivi sasa bila msongo
 
Haswa uku nilipo ivi tupo mbali na Tanzania yetu,,,wabongo wameona kabisaaa wakati wa likizo mapenzi yanakufa mpakani,,,,na kuna dada kajifungua home wahajui bahati mbaya mtoto kafariki tumezika uku uku,,yani maisha ya Chuoni kikubwa ni mtu kujitambua
 
Poleni sana
 
Sasa wewe unatakaje yaani?
Yaani watu wasitomban.e?wasile bata?

Unatakiwa kujua, mapenzi, ngono, ndoa na familia ni vitu vinne tofauti. The minimum you can achieve is sex. Hilo ni hitaji la msingi. Unaezaa nae sio lazima mfunge ndoa. Kuunganisha mapenzi na ngono ni kosa lisilo tofauti na kuunganisha mapenzi na familia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…