Wamejiangusha wenyewe wewe mbn kuna watu wanamiliki manyumba na magari na wameyapatia huko huko chuoni vitu vingije msiwe mnasingizia shetani. Universities student most of them very stupidy thinking about eating, sex and only doing assignment. Ni bora tu vyuoni warudishe sheria walizonazo sekondari wengi wanavika vyuo hawajitambui ngono zembe kwa sana. Wanawake kujiuza wanaume madem kwa sana huo ni ufala pambaneni wanaume. Kumbka wote mnapewa ela sawa ila kumbka ela mnapewa ya bum sawa ila w unahonga.Huo ndiyo ukweli unaouma moyoni.
Maisha ya vyuoni yamechangia kuwaangusha baadhi badala ya kuwajenga vijana tulio wengi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pesa inaongea mkuuUnakuta jinga limeishia form4 af linadate na mwanafunzi wa chuo..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu boom dogo Sana kuishi hivyoWamejiangusha wenyewe wewe mbn kuna watu wanamiliki manyumba na magari na wameyapatia huko huko chuoni vitu vingije msiwe mnasingizia shetani. Universities student most of them very stupidy thinking about eating, sex and only doing assignment. Ni bora tu vyuoni warudishe sheria walizonazo sekondari wengi wanavika vyuo hawajitambui ngono zembe kwa sana. Wanawake kujiuza wanaume madem kwa sana huo ni ufala pambaneni wanaume. Kumbka wote mnapewa ela sawa ila kumbka ela mnapewa ya bum sawa ila w unahonga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kavisa mkuuWamejiangusha wenyewe wewe mbn kuna watu wanamiliki manyumba na magari na wameyapatia huko huko chuoni vitu vingije msiwe mnasingizia shetani. Universities student most of them very stupidy thinking about eating, sex and only doing assignment. Ni bora tu vyuoni warudishe sheria walizonazo sekondari wengi wanavika vyuo hawajitambui ngono zembe kwa sana. Wanawake kujiuza wanaume madem kwa sana huo ni ufala pambaneni wanaume. Kumbka wote mnapewa ela sawa ila kumbka ela mnapewa ya bum sawa ila w unahonga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisaWamejiangusha wenyewe wewe mbn kuna watu wanamiliki manyumba na magari na wameyapatia huko huko chuoni vitu vingije msiwe mnasingizia shetani. Universities student most of them very stupidy thinking about eating, sex and only doing assignment. Ni bora tu vyuoni warudishe sheria walizonazo sekondari wengi wanavika vyuo hawajitambui ngono zembe kwa sana. Wanawake kujiuza wanaume madem kwa sana huo ni ufala pambaneni wanaume. Kumbka wote mnapewa ela sawa ila kumbka ela mnapewa ya bum sawa ila w unahonga.
Sent using Jamii Forums mobile app
peer pressure, mtiririko wa marafiki, faking life na kusahau ulikotoka ndio moja ya machagizo ya watu wa vyuo vikuu kufanya anasa zilizopita kiwango.Nikiwaangalia wanafunzi wengi wa vyuo vikuu napatwa na walakini juu ya maisha ya mbeleni pindi watakapokuwa na familia; sijajua shida iko wapi, Je wanaingia chuoni wakiwa wadogo sana kiumri au ni hulka tu kwamba mtu akifika chuo lazima "ale bata"?
Wavulana wengi chuo kikuu huishi kwa kufuata mkumbo rika yaani inatokea tabia yake awali ilikuwa njema ila baada ya kuchangamana na aina fulana ya watu anajihisi unyonge kutofuata yale wenzao "wajanja" wanayofanya.
Wavulana wa chuoni huona kipindi ambacho wao wako chuo ndio kipindi ambacho ngono inabidi iwatambue wao ni akina nani (SIO WOTE) N a hili suala hupelekea wengi kutokuwa wavumbuzi wa masuala ya msingi ya kimaisha.
Mvulana akiwa chuo anapolalamika kuhusu boom kuwa halitoshi mawazo yake yote ni kutaka kufidia kwenye anasa hasa uzinzi
mimi nawaambiaga mtoto wa kiume ukipokea laki tano na sitini kila baada ya miezi miwili na ukalialia utakapoajiriwa wewe ni KILAZA MSHENZI
Lakini inakuwaje wapo baadhi ambao wanjitambua sana na tena wana miradi wanaoyoiendeshapeer pressure, mtiririko wa marafiki, faking life na kusahau ulikotoka ndio moja ya machagizo ya watu wa vyuo vikuu kufanya anasa zilizopita kiwango.
Lakini inakuwaje wapo baadhi ambao wanjitambua sana na tena wana miradi wanaoyoiendesha
KAMA ZILIVYO RANGI ZA SURA ZETU NDIVYO HATA TABIA ZETU ZILIVYO TOFAUTI, NA KAMA ZILIVYO TOFAUTI AKILI ZETU NDIO UTOFAUTI WA MAAMUZI YETU HUWA PIA.Lakini inakuwaje wapo baadhi ambao wanjitambua sana na tena wana miradi wanaoyoiendesha
Wasichana wakiingia vyuo vikuu wanajifunza umalaya badala ya kujitafutia maarifa.KAKA nimeona tu niongelee ya watoto wa kiume maana hawa ndo wanaenda kuwa "vichwa vya familia" (kaazi kqeli kweli ) ila ya watoto wa kike ndo yanatisha mno nimeshindwa hata pa kunzia kuyaelezea
Tuwaombee kwa MUNGU kwani si kosa lao jamani.Nikiwaangalia wanafunzi wengi wa vyuo vikuu napatwa na walakini juu ya maisha ya mbeleni pindi watakapokuwa na familia; sijajua shida iko wapi, Je wanaingia chuoni wakiwa wadogo sana kiumri au ni hulka tu kwamba mtu akifika chuo lazima "ale bata"?
Wavulana wengi chuo kikuu huishi kwa kufuata mkumbo rika yaani inatokea tabia yake awali ilikuwa njema ila baada ya kuchangamana na aina fulana ya watu anajihisi unyonge kutofuata yale wenzao "wajanja" wanayofanya.
Wavulana wa chuoni huona kipindi ambacho wao wako chuo ndio kipindi ambacho ngono inabidi iwatambue wao ni akina nani (SIO WOTE) N a hili suala hupelekea wengi kutokuwa wavumbuzi wa masuala ya msingi ya kimaisha.
Mvulana akiwa chuo anapolalamika kuhusu boom kuwa halitoshi mawazo yake yote ni kutaka kufidia kwenye anasa hasa uzinzi
mimi nawaambiaga mtoto wa kiume ukipokea laki tano na sitini kila baada ya miezi miwili na ukalialia utakapoajiriwa wewe ni KILAZA MSHENZI
Ukioa demu aliyetoka University ni sawa na kuamini shubiri mbogaWasichana wakiingia vyuo vikuu wanajifunza umalaya badala ya kujitafutia maarifa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukioa demu aliyetoka University ni sawa na kuamini shubiri mboga
Hiyo sio wote inamaanisha karibia wote