Vyuo vikuu bora Africa, UDSM tupa kule

Vyuo vikuu bora Africa, UDSM tupa kule

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
58,023
Reaction score
134,226
Katika utafiti uliofanyika majuzi,
vyuo vikuu vya Afrika Kusini
vilishika nafasi 6 katika orodha
ya vyuo vikuu kumi bora.

Chuo kikuu cha Makerere nchini
Uganda kimeorodheshwa katika
nafasi ya tatu.

Chuo kikuu cha Port Harcourt
kilichoko Nigeria kimeorodhesha
katika nafasi ya sita.

Chuo kikuu cha Nairobi nchini
Kenya kimeorodheshwa katika
nafasi ya nane.

Jarida la ''The Times Higher
Education'' lilitumia idadi na
ubora nukuu kutoka kwa
wasomi wake.

Je viwango vya ubora wa
masomo na utafiti wa vyuo vikuu
vyetu Bongo hususani UDSM vimeshuka ?
 
kwa kweli hata mimi nimebaki nashngaa juu ya. hiyo orodha, unabaki unashangaa tu wasomi wetu wa Kitanzania
 
Mkuu UDSM ndio akina Prof. Mkumbo muda wote kuandika Makala za Magazetini ambazo hata felia ana andika kama uongo wa jana wa ndg yetu Manyerere Jackton
No Strong Publications for the betterment of the Nation!!

Akina Dr. Bana muda wote kuongea uongo ITV na BBC na Prof. Shivji kutuandikia Uongo ktk Katiba!! Daah
 
Last edited by a moderator:
elimu waitoayo ni duni ndo maana hawamo.pia mapenzi yametawala vyuoni kuliko utafiti wa masomo
 
wabongo bhana kwa kuponda, kwahiyo tunafanyaje sasa
 
MK254 njoo huku uwahibishe watu.
 
Last edited by a moderator:
Jamaa alitaka kutuviringisha!!!Duu!!Nadhani hiyo taarifa alitoka nayo kwenye daladala...
 
Wasomi wa kitz wamehamia kwenye mapenzi wameona wakimaliza bachelor zao ajira hamna #un employment#
 
Mkuu UDSM ndio akina Prof. Mkumbo muda wote kuandika Makala za Magazetini ambazo hata felia ana andika kama uongo wa jana wa ndg yetu Manyerere Jackton
No Strong Publications for the betterment of the Nation!!

Akina Dr. Bana muda wote kuongea uongo ITV na BBC na Prof. Shivji kutuandikia Uongo ktk Katiba!! Daah
babkubwa mkuu,hii mistari ni mizito sana kwa walengwa,ktk tasnia ya mziki wa hiphop tungeiita "16 bars".
 
Back
Top Bottom