connections
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 2,840
- 3,909
Hata mimi nashangaa chuo kikuu hakina hata kiwanda, hakina benki, hakina kampuni yoyote inaku
Havikuanzishwa kwaajili hiyo, Vitaanza kupotea kwenye lengo1. Katika taasisi yenye transaction nyingi kila wakati ni vyuo vikuu (Ada, pesa za research, donations, grants na government subsidies) kwanini msiwe na Benki yenu wenyewe badala ya kutegemea benki baki? Mna Maprofesa, wanafunzi mahiri na mtandao mpana kila kona nchini.
2. Wateja ni wanafunzi na wafanyakazi wa vyuo tajwa (Kama makanisa yameweza kuanzisha benki sembuse nyie?)
3. Njia hi itaokoa pesa nyingi sana kwenye gharama za uendeshaji wa akaunti kwenye mabenki mengine.
Yap watuwekee mitaala mingi ya kumwezesha mhitimu kujiajiri mwenyewe badala ya kutegemea kuajiriwa, hii itapunguza sana mzigo mkubwa wa Serikali yetu kuajiriWaanze kwanza kuboresha ufundishaji wao
Wakati muafaka. Ndio ubunifu wenyewe!1. Katika taasisi yenye transaction nyingi kila wakati ni vyuo vikuu (Ada, pesa za research, donations, grants na government subsidies) kwanini msiwe na Benki yenu wenyewe badala ya kutegemea benki baki? Mna Maprofesa, wanafunzi mahiri na mtandao mpana kila kona nchini.
2. Wateja ni wanafunzi na wafanyakazi wa vyuo tajwa (Kama makanisa yameweza kuanzisha benki sembuse nyie?)
3. Njia hi itaokoa pesa nyingi sana kwenye gharama za uendeshaji wa akaunti kwenye mabenki mengine.
Kwani wanafunzi wa chuo wamepata changamoto gani mpaka waanzishe bank yao.?? Je bank zilizipo hazikidhi matakwa yao.?1. Katika taasisi yenye transaction nyingi kila wakati ni vyuo vikuu (Ada, pesa za research, donations, grants na government subsidies) kwanini msiwe na Benki yenu wenyewe badala ya kutegemea benki baki? Mna Maprofesa, wanafunzi mahiri na mtandao mpana kila kona nchini.
2. Wateja ni wanafunzi na wafanyakazi wa vyuo tajwa (Kama makanisa yameweza kuanzisha benki sembuse nyie?)
3. Njia hi itaokoa pesa nyingi sana kwenye gharama za uendeshaji wa akaunti kwenye mabenki mengine.
CRDB wakala na NMB wakala anatosha ku solve ilo tatizo1. Katika taasisi yenye transaction nyingi kila wakati ni vyuo vikuu (Ada, pesa za research, donations, grants na government subsidies) kwanini msiwe na Benki yenu wenyewe badala ya kutegemea benki baki? Mna Maprofesa, wanafunzi mahiri na mtandao mpana kila kona nchini.
2. Wateja ni wanafunzi na wafanyakazi wa vyuo tajwa (Kama makanisa yameweza kuanzisha benki sembuse nyie?)
3. Njia hi itaokoa pesa nyingi sana kwenye gharama za uendeshaji wa akaunti kwenye mabenki mengine.
Leo wamesisitizwa ubunifuCRDB wakala na NMB wakala anatosha ku solve ilo tatizo
Unaandika vitu shaghala-baghala.Benki kibao za kibongo nina wasiwasi nazo sembuse benki ya chuo. Hiyo si ni kama Saccos au Microfinance ambako siwezi weka imani yangu uko.
Kuwa na utitiri wa benki ni upuuzi wa kiuchumi. Taasisi za kifedha ziwe nyingi kiasi na zisiwe centralized basi. Mambo ya kila sekta, taasisi, kada kuwa na benki mtakuja kuvuruga uchumi kama chanzo cha GED miaka ya 1920s.