vyuo norway kwa ajili ya masters

Lokissa

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
7,444
2,475
changamkieni hivi vyuo,BERGEN,TROMSO,KRISTIANSAND,OSLO na NTNU, kwa chuo cha oslo zipo programu nyingi za uzamili, fuata hii linki www.uio.no afu chagua lugha,angalia kushoto utaona wameandika INTERNATIONAL STUDENT fuata hapo itakuelekeza namna ya kuaply. kwa ufupi vyuo vya serikali norway hakuna ada na kuna form inaitwa quorta scholarship watakupa hela ya makazi na chakula ni kama NOK 9000 NI kama milioni 3 hivi za kibongo kwa mwezi ni hela kidogo lkn itakuwezesha kusoma, scann na vyeti vyenu andaa na motivation letter. application zimeanza october hadi decemba,acheni kulala, waliosoma UDSM, mzumbe pia SUA ndio wana uhakika mkubwa wa kupata sijaelewa vyuo vingine kama wanavikubali.kaka hujawahi kuanda motivation letter ingia google kuna sample kibao. masomo yanafundishwa kwa kiingereza kwa masters na phd. jifunzeni kujaribu kama wakenya amkeni wajamini mweeeeeeeeee.
 

Pawaga

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
1,330
964
hoooovyo na umeharibu kuleta bwebwe za UDSM,SUA na mzumbe..loh nmechoka kbs
 

yutong

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
1,602
329
Sasa wewe eti unasoma chuo kinaitwa kampala international university au open university unategemea kujilinganisha na mtu wa UDSM, SUA, MZUMBE ama MUHIMBILI? Vyuo vingine tunadanganyana tu bola liende hamna chochote mfano hii kampata university naona kina dada wengi wamekamatika sana. Na kina dada kwa kukamatika kirahisi ndo wenyewe hata wakati wa DECI wengi waliingia kichwakichwa wakalizwa sana
 
1 Reactions
Reply
Top Bottom