Norway kuna scholarship 800 for 2016 Bachelors, master na Phd. kwa ajili ya nchi zinazoendelea

Nivip salamander! ninauliza nijinsi gani mtu una apply for scholarship!? ni mpaka uchaguliwe na chuo ulicho apply kwanza!? ama ni mpaka uapply scholarship kwanza!?
 
Hizo scholarship ni kwa ajil ya wale royal family in tz but kajambanani upati scholarship ata ya Msumbiji
 
Back
Top Bottom