poleni kwa mlisosoma vyuo vya kata. well kuhusu gpa kila kitu kimeanishwa ktk hiyo site itakuelekeza qualification nk soma kwanza uelewe vizuri ikiwezekana hata siku chache then ndo uanze kuaply
we aply kaka usiogope kujaribu
uzuri tanzania imekuwa exempted kwenye masuala ya LUGHA wanaasume tunajua kiingereza kw ahivo huna haja ya kusubmit kile cheti cha kusomea lugha pale british council au pale udsm
vyuo vingiene jaribuni wandugu usigoope hutapoteza kitu kujaribu umejuaje kama hawatakuchukua? mda mrefu ndio hawa jamaa wanathamini vile vyuo ya serikali mfano udsm au makerere mzumbe nk walikuwa hawana imani kupokea wanafunzi waliosoma vyuo vya private sijajua kama wameshaacha hiyo tabia . tuwe na tabia ya kujifunza kujaribu,
kwa walio sweden labda watawapa link za huko na vyuo vyao ila kwa norway bado milango iko wazi, mliosoma science kama mainjinia changamkieni NTNU university ingia google andika utaona, kwa wachumi kuna bergen chuo kizuri sana na oslo,arts pia kuna NTNU,OSLO,TROMSO,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.