Vyuo gani vizuri vinavyotoa shahada ya udaktari?

fredy18

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2018
Posts
509
Reaction score
610
Husika na mada tajwa hapo juu, Mimi ni kijana mwenye miaka 25 nimehitimu diploma ya clinical medicine mwaka juzi na kufanikiwa kupata GPA ya 3.8, japo malengo yangu yangu hayakuwa hayo.. O level nilipata div 1 ya points 13 huku PCB Nilikuwa na B, B, B respectively... B/Math nilikuwa na A na English B. Kilichonivunja moyo ni mwaka Jana niliomba MD udom na Muhimbili nikakosa batch zote.. Advance sikumaliza form six sababu ya kuugua mwaka mmj na nusu, hivyo nikaamua kwenda kujiunga diploma kuliko kupoteza muda... NAOMBENI MCHANGO WA MAWAZO YENU, Mungu awabariki
 
Udom is your best shot ila kama pesa ipo cheki na private Universities... sio rahisi kukosa kule
 
tatzo ni competition kuwa kubwa kwa vyuo kama udom na Muhas, unavigezo vyote vya kusoma MD, jaribu kuomba kwa vyuo kama cuhas, kcmc, kairuki, st joseph
 
Thanks a lot
 
Husika na mada tajwa hapo juu, Mimi ni kijana mwenye miaka 25 nimehitimu diploma ya clinical medicine mwaka juzi na kufanikiwa kupata GPA ya 3.8, japo malengo yangu yangu hayakuwa hayo.. O level nilipata div 1 ya points 13 huku PCB Nilikuwa na B, B, B respectively... B/Math nilikuwa na A na English B. Kilichonivunja moyo ni mwaka Jana niliomba MD udom na Muhimbili nikakosa batch zote.. Advance sikumaliza form six sababu ya kuugua mwaka mmj na nusu, hivyo nikaamua kwenda kujiunga diploma kuliko kupoteza muda... NAOMBENI MCHANGO WA MAWAZO YENU, Mungu awabariki
Nenda TCU guide book, angalia minimum ya kujiunga na kozi uitakayo kwa kupiia diploma na RPL
http://www.tcu.go.tz/images/documents/AdmissionGuidebookEquivalentApplicants_NEW.pdf
 
Hapana mkuu, Mimi nimemwombea bwana mdogo kozi hiyo kwa vyuo hivyo ulivyovitaja, tena ni siku chache tu zilizopita.
Nimeangalia TUC guide book kwa diploma na RPL. KCMC medicine hakuna. Bugando ipo, St Francis hakuna ... anyway jaribu kuangalia kwa makini. Ngoja nirudie tena kuhakikisha maana na mimi nina vijana. UDOM sijaangalia. Mwaka jana walikatazwa. Let me check anyway
Mrejesho: UDOM ipo!
 
Husika na mada tajwa hapo juu, Mimi ni kijana mwenye miaka 25 nimehitimu diploma ya clinical medicine mwaka juzi na kufanikiwa kupata GPA ya 3.8, japo malengo yangu yangu hayakuwa hayo.. O level nilipata div 1 ya points 13 huku PCB Nilikuwa na B, B, B respectively... B/Math nilikuwa na A na English B. Kilichonivunja moyo ni mwaka Jana niliomba MD udom na Muhimbili nikakosa batch zote.. Advance sikumaliza form six sababu ya kuugua mwaka mmj na nusu, hivyo nikaamua kwenda kujiunga diploma kuliko kupoteza muda... NAOMBENI MCHANGO WA MAWAZO YENU, Mungu awabariki

Matokeo yako ya O level ni mazuri sana, GPA yako kwa ngazi ya diploma pia iko vizuri tu, hebu jaribu kuomba tena mwaka huu MUHAS, UDOM na KCMUCo (zamani KCMC), huenda mwaka jana pengine kulikua na makosa katika uombaji wako au kitu kama hicho...
Siamini kwamba haukuchaguliwa kwa sababu ya kigezo cha ushindani, (diploma applicant anashindana na diploma applicant mwenzie na sio vinginevyo, kwa uzoefu wangu mdogo, sio rahisi sana kuwapata diploma holders wengi sana wenye vigezo kama vyako).

Jaribu tena, kuwa makini zaidi wakati huu, fuata kila wanachokitaka katika kuomba chuo husika, naamini utaitimiza ndoto yako.
 
Nimeangalia TUC guide book kwa diploma na RPL. KCMC medicine hakuna. Bugando ipo, St Francis hakuna ... anyway jaribu kuangalia kwa makini. Ngoja nirudie tena kuhakikisha maana na mimi nina vijana. UDOM sijaangalia. Mwaka jana walikatazwa. Let me check anyway
Mrejesho: UDOM ipo!

Ahsante mkuu kwa ushiriki wako katika mjadala, I appreciate. Vipi nawewe "vijana" wako ni equivalent applicants (diploma holders) ?
 
Unataka vyuo vya nje ya nchi au ndani ya nchi?

Tuanzie hapo kwanza.
 
Ahsante mkuu kwa ushiriki wako katika mjadala, I appreciate. Vipi nawewe "vijana" wako ni equivalent applicants (diploma holders) ?
NO amelaliza form six akajikuta hawezi kusoma kozi yoyote ya afya. Meaning Medicine, DDS, Pharmacy.. hasa hizo. Kibaya zaidi hata zile za technician zinahitaji chemistry uwe na C (this is not that simple to get at A level). Angalia kozi hizi form six direct kama hana C ya chemistry hawezi.

5. Bachelor of Medical Laboratory Sciences (BMLS)
Three principal passes in Physics, Chemistry, and Biology with minimum entry of 6 points, whereby one must have at least C grade in Chemistry and at least D grade in Biology and E grade in Physics

5 Bachelor of Science in Radiation Therapy Technology (BSc RTT)

6 Bachelor of Science in Prosthetic and Orthotics (BSc PO)

7. Bachelor of Science in Nursing (BScN)
Three principal passes in Chemistry, Biology and either Physics or Mathematics or Nutrition with a
minimum of 6 points, whereby one must have at least C grade in Chemistry and at least D grade in Biology and E grade in Physics or Mathematics or Nutrition

8. Bachelor of Science in Environmental Health Sciences (BSc EHS)
Three principal passes in Chemistry, Biology and either Physics or Mathematics or Nutrition or Geography or Agriculture with a minimum of 6 points, whereby one must have at least C grade in Chemistry and at least D grade in Biology and E grade in Physics or Mathematics or Nutrition or Geography or Agriculture

9. Bachelor of Medical Laboratory Sciences in (i) Clinical Chemistry (ii) Hematology and Blood Transfusion, (iii) Histotechnology (iv.) Microbiology and Immunology (v) Parasitology and Medical Entomology and, (vi) Bachelor of Medical

10. Laboratory Sciences General

11. Bachelor of Sciences in Health Laboratory and Bachelor of Science in Physiotherapy
Three principal passes in Physics, Chemistry, and Biology with minimum entry of 6 points, whereby one must have at least C grade in Chemistry and at least D grade in Biology and E grade in Physics.
 
Pole sana mkuu, Kuna baadhi ya kozi hapo naona wameweka kigezo cha ufaulu wa daraja C ya kemia bila sababu za msingi, kwa mfano "environmental health sciences", ila nadhani lengo ni kupunguza ushindani ukizingatia kwamba " watoto wa siku hizi wanafaulu sana".

Mimi "wa kwangu" ana vigezo vya chini kabisa vya kusoma kozi yoyote ya afya, chuo chochote yaani yuko kwenye mstari mwekundu. Kwenye PCB ana DCC kwa mpangilio huo, nilichokifanya nimemuombea MUHAS, UDOM na KCMC, lakini pia nimemuombea kozi zingine zisizo za afya pale UDSM kama "escape plan".

Kwahiyo huyo wako unaweza kumuangalizia kozi zingine ambazo zitakua ndani ya Uwezo wa ufaulu wake na pia zinaweza kumsaidia hapo mbeleni....
 
Mkuu KCMC mwaka huu wanadahili Doctor of Medicine na Bachelor of Sciences in Health Laboratory- watafute under Kilimanjaro Christian Medical University College (KCMU)
Ok nimeona. asante
 
Back
Top Bottom