Wewe ndiyo umeongea, wengine pumba tu! Mtihani ni mmoja kwa vyuo vyote. Ukipata 3.5 GPA unachance ya kusoma MD.Kasome, mtihani wanatunga nacte, ukifeli hamna kisingizio...vyuo karibu vyote vinafanana, tafuta penye mazingira mazuri yakusoma
Wewe ndiyo umeongea, wengine pumba tu! Mtihani ni mmoja kwa vyuo vyote. Ukipata 3.5 GPA unachance ya kusoma MD.Kasome, mtihani wanatunga nacte, ukifeli hamna kisingizio...vyuo karibu vyote vinafanana, tafuta penye mazingira mazuri yakusoma
Ameomba vyuo vya private sio vya serikali
KwaniniNakushauri nenda city college [emoji1593].*utanishukuru ukimaliza *
Kwanini
Aliomba radiology,orthopedics na hiyo environmental maana pharmacy kwenye machaguo haikuwepoAliomba kozi gan maana kwa pharmacy,lab,radiography,nurse wanataka one tu ila hiyo environmental health sciences anapata ata kwa second round mkuu shida kozi sijui kama inasoko
Hapo ngumu angeomba na udom pharmacy angepata kwani ameomba chuo kimoja tu auAliomba radiology,orthopedics na hiyo environmental maana pharmacy kwenye machaguo haikuwepo
Udom aliomba second round pharmacy ila mpka leo ukiingia kwenye account inaandika tu your application received successfully wakati mpka dirisha la tatu limeshafunguliwa na kufungwa ijumaa ila awajatoa ata ile update ya ujachaguliwaHapo ngumu angeomba na udom pharmacy angepata kwani ameomba chuo kimoja tu au
Alafu ilibidi wakati anaomba muhas angeomba na vyuo vingine maana mambo ya second round uwa magumashi tu kwa diploma lakini vuta subira tu mkuu uone watajibu niniUdom aliomba second round pharmacy ila mpka leo ukiingia kwenye account inaandika tu your application received successfully wakati mpka dirisha la tatu limeshafunguliwa na kufungwa ijumaa ila awajatoa ata ile update ya ujachaguliwa
Kwahy clinical medicine ni sawa na clinical officer !?