Vyuo 10 Bora Tanzania 2019

kuna factors nyingi huwa wanaangalia hawakurupuki ww kama umesoma vyuo vya Kata shauri yako tambua point zako hazikukutosha kwenda ud au sua
Hahaha pole sana, kusoma vyuo vya kata ndio vyuo gani hivyo?
.
Mimi nimesoma UD hiyohiyo ambayo wewe unaiona sijui ni God university sijui ni nini
 
Una mawazo mazuri sana Mkuu,
labda nikuulize,hapa Tanzania Kuna specialization za Vyuo?
Vyuo vikuu vya science ni vipi?
sababu siku hizi hata suo unakuta wana Business Administration,Muhimbili wa Science ya Binadamu wakati Udsm wana science ya Engineering vitu,Udom wana vyote...science,sanaa,biashara nk,Mzumbe wana Biashara,sheria,social science nk,sasa hebu naomba utoe Muongozo wako ili wasomaji tuelewe criteria zipi unataka ziwekwe ktk kutofautisha vyuo vikuu?
Wengine wanaangalia number of Phd,wengine researches published,Internationala journals,nk nk
 
Hahahahaha
Mkuu naomba kujua vyuo vyako 5 bora kwa sheria Tz
 
Comment bora kabisa.
 
Point hii kabisa kabisa
 
Mkuu tuna vyuo vya Sayansi na vinajiita hivyo kabisa, mfano Chuo cha sayansi ya tiba Muhimbili, Bugando n.k
.
Sua pia ni chuo cha sayansi, sasa wangeviweka katika category tofauti tofauti kuainisha ubora wake kwa sababu gani mtu anayesoma MUHAS ukimwambia SAUT ni bora kuliko chake hawezi kukuelewa na anayesoma SAUT hivyohivyo atabisha.
 
1.KIU
2. SAUT
3. UDOM hivi kwangu ni bora mkuu
KIU haha!
Kampala International University nimesoma chuo uchwara sana hakuna lolote pale nilisoma one year nikaacha na kujumlisha kutosajiliwa kwa course yangu ndo nikaamua kuquit kbs....
But KIU ni chuo cha wavivu....
 
KIU haha!
Kampala International University nimesoma chuo uchwara sana hakuna lolote pale nilisoma one year nikaacha na kujumlisha kutosajiliwa kwa course yangu ndo nikaamua kuquit kbs....
But KIU ni chuo cha wavivu....
Iyo KIU watu wanaiogopa sana sababu ya mambo yake
 
Labda kuna vigezo wanaangalia Mkuu,vema ukatafiti ni vigezo gani wanatumia,mfano Phds,Researches,Enrollments,nk nk,sina uhakika vigezo vipi huwa vinahitajika international standard,Unaweza kusearch ukatusaidia kwa Faida ya wengi.
Kuna KITU PIA UMESEMA Kwa shule za sekondari pia kuzilinganisha zote...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…