Vyumba vya mateso

asante mshana jr kwa maoni yako ila naamini hata wewe umesimuliwa au kusoma tu mtandaoni huna uhakika kama roma alitekwa ama la. endelea kutuliwaza na stori za kichawi tu haya huyajui kaka
Ni kweli hayajui ila katufungua macho vipofu wenzake,naogopa MTU akijamba kuanzia Leo ntakuwa nacheka tu na kumsifia sitakosoa
 
Ben itakuwa walimterminate moja kwa moja maana walijua hata kwa mateso aliyopewa asingekaa kimya.
Inaniuma sana tunapozungumzia kupotea kwa Ben kama kupotea kwa majini ya chai jikoni.
Ila binafsi nafsi yangu haikubali kuwa amededi ila yupo sehemu kahifadhiwa tu, nafikia hapa nikumbukapo matukio ya Ulimboka na Absalum Kibanda.
 
Nchi haina furaha. Tuko jirani zaidi na mateso, kutekwa na kuumizwa .
Neema_ furaha na amani vimegeuka bidhaa adimu .
MACHO YANACHEKA, MOYO UNALIA
Raia hatuna amani ila watu maarufu hawana amani zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…