Vyumba vya mateso

Kuna moja nilishawahi msikia eti south africa wanaitumia, wanakuingiza kwenye chumba kina siafu wamenata kwenye kuta zote za chumba kama kimepakwa rangi ila wametulia tuli!
Issue sasa ukiingizwa humo ndio wanachachamaaa.....
Niliogopa kweli
Hahaaaaaa
 
Usikute hata wamefanyiwa mchezo mbaya maana kuwa mateka yasiyo julikana huwa ni mbaya na lengo la utekaji huwa sio zuri hata Siku moja usikute wamewatoa hata marinda kabisa masikini wa mungu!
 
asante mshana jr kwa maoni yako ila naamini hata wewe umesimuliwa au kusoma tu mtandaoni huna uhakika kama roma alitekwa ama la. endelea kutuliwaza na stori za kichawi tu haya huyajui kaka
True kabisa,hii fani mm mwnywe sinuungi mkono..kwny magic ndo kunamfaa hku na siasa hna mashkko
 
Hutishwi! Unalazimishwa kusema.
Ikiwa utatishwa,shukuru mungu wako sababu anakupenda sana.

Hivi,ukifinywa pumb.u na plaiz hutaongea?

Ukichomekwa sindando kwenye kucha ikazama yote hutaongea?

Ukipitishiwa mshale wa kibiriti unao waka kwenye kichwa cha mbo.o hutaongea?

Ukikatwa kidole kimoja kimoja utakaa kimya?

Weweeeeeee
 
Ukijijua wewe huwefunga mdomo wako,basi tembea na kipisi cha S.umu ukibambwa kimeze uondoke fasta,vinginevyo dunia itakuwa ndogo sana kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…