Vyumba vya kupangisha bajeti 30M

Vyumba vya kupangisha bajeti 30M

Ambrose Koller

Senior Member
Joined
Oct 13, 2024
Posts
102
Reaction score
84
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka wadau, Nina million 30 nipo dar natamani nijenge vyumba kadhaa vya kupangisha vya single ila self sasa kwa bajeti hiyo inaweza kutoa vyumba vingapi? Nakaribisha maoni na ushauri
 
Mkuu Ambrose Koller kila nikitaka kujibu swali lako nasita sbb sijui unataka nyumba ya flavour gani, hali ya kiwanja ikoje, kiko wapi na unalenga kuwapangisha watu wa class gani!! Mfano nyumba yenye King post 1m ni tofauti kabisa kabisa kwny gharama na ya king post 5m, kiwanja tambarare ni tofauti na mabondeni hivyo gharama za ujenzi pia zitakua tofauti. Ushauri wangu weka maelezo ya kutosha na ramani if possible watu wakusaidie.
kwa hisani ya google .jpg
 
Ngoja waje
Ila inategemea na sehemu kwakweli
 
Unataka Vyumba vya ukubwa gani?
Vidogo,standard au vikubwa?
 
0743 257 669 nichek nikuchoree raman ya nyumba nikupe na mahesabu
 
Back
Top Bottom