Mjuzi Wenu
Senior Member
- Nov 18, 2017
- 108
- 100
Kuna vyumba na hostel vipo karibu na vyuo tajwa hapo juu kwa bei tofauti
Tuwasiliane kupitia whatsap number 0692235221
Nawasilisha
Tuwasiliane kupitia whatsap number 0692235221
Nawasilisha
Pesa yako tuuMe sisomi ila nahitaji kukaa hostel utanikubalia?
Mawasiliano na sinza kwa vyumba vya self namaanisha na choo ndan bei yake ni 120-150k na vya kawaida ni 70-100kVyumba viko wapi na bei zipoje
Hatupo bungeni mkuuNgoja waje kupata muongozo...
Yan iyo bei kwa mwez au semister 😳😳Mawasiliano na sinza kwa vyumba vya self namaanisha na choo ndan bei yake ni 120-150k na vya kawaida ni 70-100k
Yaani room self laki na 20 duuh au n chumba na sebuleMawasiliano na sinza kwa vyumba vya self namaanisha na choo ndan bei yake ni 120-150k na vya kawaida ni 70-100k
Per monthYan iyo bei kwa mwez au semister
Iyo bei ni kwa mwezi hasa kwa upande wa karibu na vyuo tajwa nadhani wahusika wanajua kuusu swala la beiYan iyo bei kwa mwez au semister 😳😳
Maeneo ya karibu na vyuo tajwa hizo ndio bei husika kiongoziYaani room self laki na 20 duuh au n chumba na sebule
Yaani room self laki na 20 duuh au n chumba na sebule
Ishu sio kusoma, hizo bei kwa wanafunzi ni kubwa mno, acha kuleta sifa.Soma mdogo wangu wenzako kodi ya 1M per month tunaiona ndogo now
Mmmh kazi ipoSoma mdogo wangu wenzako kodi ya 1M per month tunaiona ndogo now
Ishu sio kusoma, hizo bei kwa wanafunzi ni kubwa mno, acha kuleta sifa.
Sawa msomi.Ikiwa unaona elimu ni ghali jaribu ujinga
Hao wanafunzi unaotaka kuwapangisha kwa bei hizo ni Watanzania au ni wa kutoka Ulaya??.Mawasiliano na sinza kwa vyumba vya self namaanisha na choo ndan bei yake ni 120-150k na vya kawaida ni 70-100k
Sio Mimi ni bei zinazo julikana hasa kwa maeneo karibu na vyuo tajwa Happ juuHao wanafunzi unaotaka kuwapangisha kwa bei hizo ni Watanzania au ni wa kutoka Ulaya??.
Kama sio weweSio Mimi ni bei zinazo julikana hasa kwa maeneo karibu na vyuo tajwa Happ juu