Vyumba na Hostel kwa wanafunzi wa Chuo

Vyumba na Hostel kwa wanafunzi wa Chuo

Calyx24

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2018
Posts
213
Reaction score
293
Kwanza ningependa kutoa hongera zangu za dhati kwa wanafunzi ambao wamechaguliwa katika vyuo mbali mbali kujiunga na elimu ya juu hasa kwa ngazi ya degree pia ningependa kutoa pongez kwa hata pia wanafunzi ambao wanaendelea na masomo yao katika vyuo mbalimbali.

Dhumuni la huu uzi ni kuwasaidia wanafunzi wa vyuo mbali mbali hasa wale wa mikoani ambao wamekosa hostel za ndani ya chuo hivyo sisi tutamsaidia kumtafutia mwanafunzi sehem sahihi yenye usalama ili aweze kuendelea na masomo yake kama ilivyo hada

kwa upande wangu natoa hii service kwa wanafunzi wa vyuo vifuatavyo
UDSM
ARDHI UN
WATER INST
NIT
TUMAINI

pia location ninazo husika nazi ni
UBUNGO
MABIBO
MAWASILIANO
SINZA

Hivyo basi kama utahitaji chumba au hostel za nnje ya chuo katika location nilizo ziweka hapo juu ningependa tuwasiliane kupitia namba 0692235221

NAWASILISHA [emoji120]
 
Nataka chumba mawasiliano au sinza masterbedroom. Payment 70k.
 
Nataka chumba mawasiliano au sinza masterbedroom. Payment 70k.

kwa hayo maeneo mkuu huwezi pata kwa iyo bei hiyo bei ni ya chumba cha kawaida mkuu

kwa maeneo hayo chumba cha self ni kuanzia 120-150
 
Mkuu unatania ee....Yani Sinza au Mawasiliano upate masterbedroom kwa 70k, Nahisi utakua mgeni mjini

Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app

[emoji16][emoji16] itakuwa ni mgeni na maeneo haya kwa maeneo mengine ya dar kam mbagala, mbezi kimara na maeno mengine anaweza kupata ila si kwa maeno ya mawasiliano, sinza, ubungo au mabibo hawezi pata kwa iyo bei kabisa
 
Kwamba bei gani unasema ww

bei ni kuanzia 120-150 kwa vyumba vya uwakika na vyenye usalama pia unawez kupata cha 100k kwa kubaatisha ila unatikiwa uwe makini mana baadhi ya maeneo ya mawasiliano na sinza yanajaa maji mana kuna mto unaopita maeneo hayo
 
Mwenyeji around muhas na muhimbil kiujumla aniambie mbili tatu kuhusu bei za vyumba na upatikanaj wake
 
Hostel kwa udsm unazo wapi na hela ngap kwa semista au mwaka?
 
Back
Top Bottom