Nahitaji mabanda au vyumba kwa shughuli za ujasiriamali.(eneo la kutengenezea bidhaa) . Eneo liwe kimara, ubungo na maeneo jirani na hayo au maeneo mengine usafiri usiokuwa tabu. USALAMA NA UMEME ndio vitu muhimu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.