Vyou Vikuu Vya Kikiristo Vinatoa Wala Rushwa na Mafisadi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vyou Vikuu Vya Kikiristo Vinatoa Wala Rushwa na Mafisadi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mr.Right, Sep 9, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. M

  Mr.Right JF-Expert Member

  #1
  Sep 9, 2011
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 408
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  TZ ni nchi yenye Rushwa na Ufisadi Mkubwa sana Duniani. Ukichunguza wafanyakazi wengi Serikalini ni Graduate kutoka ktk vyuo kama Tumaini University nk. Sasa hii Rushwa na Ufisadi mbona havipigwi vita sana na hawa Graduate kutoka hivi vyuo vya Kidini (Catholics)? Je kuna Courses zozote za Ethics ambazo zinafundishwa?

  Hii information imetokana na wingi wa Vyuo Vikuu vya Kikatoliki nchini.  [h=1]Are Business Schools Failing the World?
  [​IMG]  By WILLIAM J. HOLSTEIN
  Published: June 19, 2005
  JEFFREY E. GARTEN, 58, who is stepping down after 10 years as dean of the Yale School of Management, says he does not think American business schools are doing a good enough job. Here are excerpts from a conversation with Mr. Garten, who became the dean after a career on Wall Street specializing in debt restructuring abroad and a stint as under secretary of commerce for international trade.
  [​IMG]
  Sean Kelly​  Q. Do you feel that in your 10 years, you were able to improve the way business students are educated?

  [/h]
   
 2. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #2
  Sep 9, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  sijaelewa elimu yako na upeo wako wa kufikiri, ina maana vyuo UDSM,,DUCE,MUKE,MUH,SUA,MZUMBE,NK havitoi wanafunzi? wao hawapo serikalini? wao hawafundishwi ethics? acha kuandika mada za kitoto hata mtoto wa darasa la saba aliemaliza mitihani yao atakuambia umeandika kitoto.
  Nkuulize hawa mafisadi wamesoma vyuo vya kikatoliki? vilikuwepo wkt huo? kamuulize ROSTAM,chenge na lowasa wamesoma vyuo gani.
   
 3. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #3
  Sep 9, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,356
  Trophy Points: 280
  Mr.Wrong, nafikiri wewe sio mzima kiubongo. Hebu tupe evidence
   
 4. bi mkora

  bi mkora JF-Expert Member

  #4
  Sep 9, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 262
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Chakarikeni kuomba misaada ya shule, hosptali na huduma za kijamii kwa ujumla sio kuomba tende,suti na alua tu kwa waarabu.
   
 5. H

  Haki JF-Expert Member

  #5
  Sep 9, 2011
  Joined: Jan 14, 2009
  Messages: 356
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni kweli Kanisa linatoa Graduate wengi sana nchini. wakati umefika kuangalia hao graduate wao makazini na mchango wao kwa jamii. rushwa imekithiri sana na kila siku tunaona Wakatoliki wanafungua vyuo, lakini tatizo la rushwa na ufisadi lipo pale pale. ni mchango wao kwa jamii? rushwa na ufisadi?
   
 6. bi mkora

  bi mkora JF-Expert Member

  #6
  Sep 9, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 262
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nyie c mnajenga madrasa tu na kuwafunza watoto kung fu kwa ajili ya maandalizi ya jihad.
   
 7. H

  Haki JF-Expert Member

  #7
  Sep 9, 2011
  Joined: Jan 14, 2009
  Messages: 356
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  unashindwa kujibu kwa hoja, angalia swali kwanza kabla ya kujibu bila ya kusoma. Au hiyo ndiyo elimu ya Tumani?

  Tunazungumzia rushwa na ufisadi ktk TZ na mchango wa Kanisa la Katoliki na vyuo vyao kama wanafundisha Ethics ktk vyuo hivyo.
   
 8. P

  Paul S.S Verified User

  #8
  Sep 9, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Mkuu ingawa sijui elimu yako lakini huu upeo wako wa kufikiri na kuchambua mambo unawakilisha watu wa dini yako msivyo na upeo wa kufikiria kikubwa based on fact
  Labda kukusaidia ni kuwa tatizo sio vyuo gani wamesoma
  Tatizo ni mfumo uliopo makazini ndio mbovu unaotoa mwanya huo.
  Kama elimu yako ni ya madrasa najua hata hili nililokujibu litakuwa limekuzidi uwezo wa upeo wenu kulitambua
   
 9. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #9
  Sep 9, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamani mkisikia UPUPU ndio huu. Mi naona Mtoa mada ametumia MAKALIO KWEKA THREAD YAKE.
   
 10. M

  Mr.Right JF-Expert Member

  #10
  Sep 9, 2011
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 408
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Hii hoja ilishatolewa siku nyingi sana kuhusu vyuo na mchango wao ktk Society

  [h=1]Are Business Schools Failing the World?[/h]
  [​IMG]  By WILLIAM J. HOLSTEIN
  Published: June 19, 2005
  JEFFREY E. GARTEN, 58, who is stepping down after 10 years as dean of the Yale School of Management, says he does not think American business schools are doing a good enough job. Here are excerpts from a conversation with Mr. Garten, who became the dean after a career on Wall Street specializing in debt restructuring abroad and a stint as under secretary of commerce for international trade.
  [​IMG]
  Sean Kelly​  Q. Do you feel that in your 10 years, you were able to improve the way business students are educated?
   
 11. M

  Mr.Right JF-Expert Member

  #11
  Sep 9, 2011
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 408
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hii ni HOJA ya Msingi

  [h=1]Are Business Schools Failing the World?[/h]
  [​IMG]  By WILLIAM J. HOLSTEIN
  Published: June 19, 2005
  JEFFREY E. GARTEN, 58, who is stepping down after 10 years as dean of the Yale School of Management, says he does not think American business schools are doing a good enough job. Here are excerpts from a conversation with Mr. Garten, who became the dean after a career on Wall Street specializing in debt restructuring abroad and a stint as under secretary of commerce for international trade.
  [​IMG]
  Sean Kelly​  Q. Do you feel that in your 10 years, you were able to improve the way business students are educated?
   
 12. c

  cyberspace JF-Expert Member

  #12
  Sep 9, 2011
  Joined: Jul 23, 2011
  Messages: 660
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  <br />
  Jamani mnisaidie hivi Tumaini ni chuo cha kikatoriki?
   
 13. P

  Paul S.S Verified User

  #13
  Sep 9, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Nilisha kwambia majibu yamekuzidi upeo wako wa ufahamu na kujitutumua umeona u copy na ku paste habari haina kichwa wala miguu
   
 14. networker

  networker JF-Expert Member

  #14
  Sep 9, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  kweli katumia makalio kuweka thread .Tumaini si chuo cha katoliki ni chuo cha kkkt .mkubwa wake ni malasusa askofu mkuu
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...