Vyoo vya UDSM vinatia aibu (95% vimeziba)

Sasa unazungumzia nini, vyoo kuziba au chemba kutiririsha maji kwenye mifereji? Chemba kutiririsha maji kwenye mifereji ni sehemu ya solution ya kuzibua vyoo, kwa hiyo tuvumilie kwa muda hiyo harufu kwani matokeo yake yatasaidia kuwa na vyoo visafi.

Chemba kutiririsha maji maji machafu kwenye mifereji ni solution ya vyoo vilivyoziba!Duhhhh!Choo chako kikiziba Fungulia basi na chemba za hicho choo chako zitiririshe kinyesi jikoni kwako ,sebuleni kwako pamoja na chumbani kwako nadhani utakuwa umezibua choo!Ama kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni!
 
...Choo chako kikiziba Fungulia basi na chemba za hicho choo chako zitiririshe kinyesi jikoni kwako ,sebuleni kwako pamoja na chumbani kwako nadhani utakuwa umezibua choo!...
Naona umeamua kupindisha hoja kwa makusudi. Kwani hayo yanayotiririka kwenye mifereji UDSM yanaelekea jikoni?
 
Kabla hujaleta uzi huu hapa nikuulize huo kwenu mn vyoo vya mfano? au ndo mkishakuja vyuoni mnataka ha visivyowezekana,we soma umalize ukafie mbele na uache upu-uzi
 
Hivi nyie mnaenda Chuo Kikuu Ku.NYA au kusoma? kutwa kucha mnalalamika VYOO kwani mnasomea vyooni? Sijawahi kusikia mtu analalamika Maktaba hakuna vitabu vya kutosha, up-to date journals au upungufu wa wahadhiri. Nyie mmekalia VYOO na KANTINI tena unaweza ukakuta huyu aliyeandika hapa anasoma BA KISWAHILI na Mkopo kapata 100% sasa akili yake inawaza kula tu ndo maana muda wote anafikria wapi ataenda kubwaga uhar.o wake. Acheni Ujing.a Nyie pigeni shule pamoja ubovu wa vyoo UDSM imezalisha watu maarufu duniani ikiwemo Marais kadhaa hivyo kuendelea kulalamika vyoo vyoo hakutabidilisha kitu piga shule ukiwa na haja kimbilia Porini kama wenzako maisha yanaenda Maliza shule uigie mtaani ukifika huko jenga choo chako sasa.Hapo chuoni unapita tu

Wewe ni mmoja wa watu wanaoifanya dunia iwe mahali pabaya kabisa kuishi.Hukumu ya kifo ingekustahili kwa kushindwa kuthamini umuhimu wa hadhi ya binadamu

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
msomii kuna serikali ya wanafunzi peleka malalamiko yako ikishindikana nenda mbele zaidi........ uhuru wa kuongea usiogope
 
kweli kabisa hata mfumo wa maji safi na maji taka ni mbovu hasa pale hall1
 
mi ningewaelewa kama mngelalamika maktaba hakuna vitabu vya kutosha ama wahadhiri wanafundisha/kusahihisha chini unfair grading maana hilo ndio linaweza kuathiri future yako sasa nyie mnaishia kubwabwaja vyooo vyoo, mlianzaga na vyumba vya kulala ooh hakuna hostel za kutosha. sasa niwataarifu tu kiuhalisia vyuo kikuu vingi duniani si wajibu wake (chuo) kukutafutia accommodation sasa katika kwenye suala a choo kuliko kuendelea kulalamika JF ni bora ukatumia nguvu hiyo kusoma kwa bidii ili umalize kwa wakatina muondoke hapo. Hivi hajawahi kujiuliza kwa ninI vyoo vya NKRUMAH HALL huwa vinafungwa muda wote mpaka uje Ugeniwa Kimataifa (maRais au Mabaloz?) jiulize kwa ninI mahafali sasa wanafanyia mlimani city na sio chuoni kama ilivyokuwa mwanzo? Ukweli ni kwamba wanalijua tatizo la vyoo chuo so wanakwepa aibu sasa we piga keleleeeee miaka inaenda na hAkuna atakayekusikiza
 
Hivi nyie mnaenda Chuo Kikuu Ku.NYA au kusoma? kutwa kucha mnalalamika VYOO kwani mnasomea vyooni? Sijawahi kusikia mtu analalamika Maktaba hakuna vitabu vya kutosha, up-to date journals au upungufu wa wahadhiri. Nyie mmekalia VYOO na KANTINI tena unaweza ukakuta huyu aliyeandika hapa anasoma BA KISWAHILI na Mkopo kapata 100% sasa akili yake inawaza kula tu ndo maana muda wote anafikria wapi ataenda kubwaga uhar.o wake. Acheni Ujing.a Nyie pigeni shule pamoja ubovu wa vyoo UDSM imezalisha watu maarufu duniani ikiwemo Marais kadhaa hivyo kuendelea kulalamika vyoo vyoo hakutabidilisha kitu piga shule ukiwa na haja kimbilia Porini kama wenzako maisha yanaenda Maliza shule uigie mtaani ukifika huko jenga choo chako sasa.Hapo chuoni unapita tu
Duh!:eek:
 
hii ni kweli hata mimi nimemaliza pale mwaka jana ila hali ya vyoo UDSM mnatakiwa muangalie kwani linaweza onekana ni dogo lakini ni suala kubwa sana la kulishughulikia mapema. Mimi wakati nipo pale UDBS ilikuwa labda uende pale hill park au UCC ndio at least kuna maji. ila hata vya pale UDBS hata maji hakuna. Hali ni mbaya wahusika lishughulikieni.
 
Jamani hili suala la usafi wa vyoo kwa maeneo ya vyuoni ni kitendawili, kusema kweli sijawahi ona chuo chochote kile chenye vyoo visafi. Angalau kidogo nimewahi kutumia vyoo vya DIT wanajitahidi. Sasa basi kingine huwa nastaajabu sana ni wanafunzi wa vyuo wanapokuwa field huwa tunajionea majanga matupu kwenye vyoo vya maofisini.
 
Hivi nyie mnaenda Chuo Kikuu Ku.NYA au kusoma? kutwa kucha mnalalamika VYOO kwani mnasomea vyooni? Sijawahi kusikia mtu analalamika Maktaba hakuna vitabu vya kutosha, up-to date journals au upungufu wa wahadhiri. Nyie mmekalia VYOO na KANTINI tena unaweza ukakuta huyu aliyeandika hapa anasoma BA KISWAHILI na Mkopo kapata 100% sasa akili yake inawaza kula tu ndo maana muda wote anafikria wapi ataenda kubwaga uhar.o wake. Acheni Ujing.a Nyie pigeni shule pamoja ubovu wa vyoo UDSM imezalisha watu maarufu duniani ikiwemo Marais kadhaa hivyo kuendelea kulalamika vyoo vyoo hakutabidilisha kitu piga shule ukiwa na haja kimbilia Porini kama wenzako maisha yanaenda Maliza shule uigie mtaani ukifika huko jenga choo chako sasa.Hapo chuoni unapita tu

Una hoja nzuri ila umeharibu hapo kwenye red. Kwani unadhani Kiswahili ni somo jepesi? Sijapenda dharau zako!
 
Tatizo la huduma za vyoo liko kila mahala kwani unaweza kukuta vyoo vizuri lakini hakuna maji,au maji yapo lakini vyoo vimeziba.Hii mara nyingi husababishwa na;-
1.Watumiaji wenyewe,kwani wengine kutumia maji kwao ni ngumu / jinsi ya watumiaji.
2.Kukatika kwa umeme kunakopelekea maji kukosekana.
3.Idadi kubwa ya watumiaji ikiwa ni pamoja na miingiliano ya watu kutoka nje ya mazingira husika.
4.Idadi kubwa ya watu kutumia huduma hiyo kwa wakati mmoja.
n.k

Nini kifanyike?

1.Vijengwe vyoo vya dhalura sehemu nyingine ili kupunguza msongamano/kuvipumzisha vilivyopo.
2.Kuiboresha mifumo iliyo ili kukabiliana na hali hiyo ikiwa ni pamoja na usanifu ulio bora zaidi kuliko
ule wa kutegemea gravity force.
3.Wanafunzi/watu nao wawe na ratiba maalum kwa kupunguza ulaji na unywaji usio wa lazima.
4.Mleta mada awasilishe hiki alichokisema kwa uongozi wa chuo kwani si vyoo vyote UDSM vyenye
hali hiyo.
5.Kutengeneza mfumo mkubwa wa kuvuna maji ya mvua ili yatumike kwa shughuli zinazohusiana
na maji taka.
 
hali ni mbaya mpaka kwenye hostel za mabibo block C pale na block E chemba zinatema mavi kunanuka hakutamaniki wahusika waliangalie suala la miundo mbinu udsm.
 
Ni aibu kwa kweli. tengenezeni vyoo. Kwani Ustarabu wa mtu ni choo bora.
 
hali ni mbaya mpaka kwenye hostel za mabibo block C pale na block E chemba zinatema mavi kunanuka hakutamaniki wahusika waliangalie suala la miundo mbinu udsm.

wewe nadhani utakua umepigiwa story 2..mimi naishi mabibo block c,na hakuna chemba yoyote iliyoziba..au unazungumzia mabibo hostel ya nchi gani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom