Vyoo vya UDSM vinatia aibu (95% vimeziba)

Aisee hili swala la vyoo wasomi wetu mjitafakari leo naona Kuna news ya udom nayo inaongelea kuhusu vyoo
 
Tatizo Hilo lipo miaka nenda rudi!!! Aisee sio kujaa tu hata wanafunzi wanachangia uchafu na kuziba kwa vyoo! Wakati nasoma nilikuwa najiuliza kuna faida gani ya kujidai wasomi hata matumizi ya kistaarabu yanatushinda, lakini pia vyoo havina watu wa kusafisha makini... Inaita aibu sana na kinyaa.
🤣🤣🤣
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom