Vyoo vya UDSM/SRs ni aibu

Vyoo vya UDSM/SRs ni aibu

Daah we jamaa umenikumbusha mbali sana tukiwa UDSM Hall 2 tulikuwa tunakunya kwenye mifuko ya plastic tunairusha chini usiku maana unakuta umebanwa na vyoo vimeziba/hakuna maji. Na mtu usiku mnene huwezi kwenda kule COET.
 
Back
Top Bottom